Kwanini Wanaume wengi wakiingia kwenye Ndoa wanapata kitambi?

Ila kuna wanaokondeana kama mfupa wa samaki. Baadhi ya wanaopata vitambi ni matunzo mazuri ya wake zao.
 
Kwasababu ukioa unaanza kulazimishwa kula hata kama hauna njaa ukisema umeshiba unaambiwa umeshakula kwa wanawake zako
Unakula mara 2 kabisa kama sio mara 3 [emoji23][emoji23]
 
Duuu Mimi sikubali kuvalishwa Aina za Nguo ambazo siyo chaguo langu
 

Nina miaka 15 kwnye ndoa na sijawahi kuwa na kitambi dahπŸ˜€πŸ˜€πŸ™πŸ™πŸ™ masikitiko!! Ila mke keshazidi mara 3 ya uzito aliokua nao kabla sijamuoa, kimsingi ni kipipa flani hivi! Sijashibishwa bado labda na mke wangu mchaga mnaowasifia sana hapa
 
πŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈKumbe et!
 
Inategemea, Kuna ambao ni ongezeko la bia baada ya kushinda bar akikimbia kelele.
Mbali ya kukimbia kelele, mume akishinda nyumbani anaweza kupewa jukumu la kutenga sufuria jikoni.
 
Reactions: Tsh
Ndoa tamuu..sana yaani usiku unageuziwa traaako hilooo...!
Utaachaje kutoka kitambi.!
 
πŸ˜‚Jaman kwann chura!
 
Iko hivi, Unapokuwa kwenye ndoa kuna namna baadhi ya majukumu yanagawanyika automatically, tofauti na ulipokuwa bachelor. Majukumu kama kupika, kuandaa chakula, kupakua, kuosha vyombo nk. moja kwa moja yanahama kutoka kuwa majukumu yako yanakuwa majukumu ya mke wako, ambaye kimsingi linapokuja suala la jikoni na mambo ya usafi wao ndiyo pro kwenye hicho kitengo. Na mara nyingi huwa wanajitoa kweli katika kitengo hicho ili wewe upate nafasi ya kuwaza mambo mengine mfano kutafuta pesa, kujenga, ada, watoto waende shule nk.
Huo mgawanyo unakuja automatically, Kwa hiyo linapokuja suala la misosi as long as unaacha bajeti, hilo sio suala lako, ni suala dogo sana kwa mkeo, Atakupikia supu chapati asubuhi, mchana utakula makange ya kuku mixer nazi, jioni atatoa kuku kwenye friji anarost mnakula biryani la kuku! Haujakaa sawa mara amekaanga vimayai vyake anakuletea, yaani tena ukute mwanamke anayependa kujaribu kupika pika na utundu wa jikoni, Kumbuka wala hautahangaika kuwaza kwamba hivyo vyakula vimeandaliwaje sijui saa ngapi sijui nani kaosha vyombo πŸ˜€ wakati huo akili yako imeshavurugwa inawaza mambo ya kazini huko na upataje pesa ya ujenzi! Maisha yakiendelea hivyo haumalizi miezi mitatu kitambi hicho hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…