Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

Kinachotakiwa ni kuwa huru moyoni mambo ya starehe lazima yaendane na mfuko hivyo kulazimisha yaliyojuu yako kiuchumi ni kuufurahisha mwili na kuumiza akili.
 
Huyo mzee ameamua kumkomesha "Muuni" kama alivyoelekeza Polepole😀
 
Hakuna Cha level hapo!

Huo ni udangaji wa kimataifa,no love, ndo maana mshikaji akashituka na kukimbia. Nampa hongera kwa uamuzi alio ufanya.

Vipi kwani wewe uko level ipi.?[emoji16]
Level zipo sana.

Sasa mtu kijitahidi sana guest short time akitumia sana 50!!!

Utamwezaje ambaye hang out yake tu hoteli za maana bado kulala!!!!!

Kuna wanawake wa kwenda guest
Kuna wa lodge
Kuna wa hoteli za nyota 3 hadi 5

Jua level yako kaka
 
Inshu kubwa ni udangaji dada.Hayo mengine ni ya ziada tu.Ndo maana mshikaji kakimbia,hakuna cha level wala nini.Maana ukakuta unatoa hiyo 150k bado show mbovu,pussy mbovu,mwili mbovu.Sasa ndo nini
 
Inshu kubwa ni udangaji dada.Hayo mengine ni ya ziada tu.Ndo maana mshikaji kakimbia,hakuna cha level wala nini.Maana ukakuta unatoa hiyo 150k bado show mbovu,pussy mbovu,mwili mbovu.Sasa ndo nini
Unatoa 150k kwa k iliofukizwa had ikapoteza ile natural scent ama unakutana na dekio tena dekio la baridi kweli😂😂😂
 
20k unafeli mwalimu
 
150 hotel, bado posho yake....halafu ukute anakupa mambo meusi, bora tu umeamsha bana.

Mia hamsini hapo lazima anapakwa machupa kwa mgongo wa futa, anavua nguo nusu mara kitako mara kimo,, afu anapita msata mpaka chamwino.

If you don't get it, forget about it.
 
Safi sana kuna mwaka mmoja liingia mahala nikanywa supu ya 8000 nikajikuta machozi yanatoka watu wakadhani nimezidisha pilipili kumbe nilikuwa nalia naiwazia buku nane.
duuuh, hatari fayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
wakati mwingine muulisage bei beeee
 
eti baby nibadilishie nishazichoka,,,,hahhahaha dunia inaenda kasi sana

kwani nyie mnawapaga zawadi gani?

nimejikuta nacheka kwa nguvu
 
eti baby nibadilishie nishazichoka,,,,hahhahaha dunia inaenda kasi sana

kwani nyie mnawapaga zawadi gani?

nimejikuta nacheka kwa nguvu
Wanawake wakibongo wanataka hela zawadi watajinunulia wenyewe,yaani hata ukimnunulia zawadi still bado atakutangazia njaa.
 
Wanawake wakibongo wanataka hela zawadi watajinunulia wenyewe,yaani hata ukimnunulia zawadi still bado atakutangazia njaa.
yaani you made ma day,,,eti nibadilishie

hahahahhahahha
 
eti baby nibadilishie nishazichoka,,,,hahhahaha dunia inaenda kasi sana

kwani nyie mnawapaga zawadi gani?

nimejikuta nacheka kwa nguvu
Mnazo zitaka nyie ndo huwa mnapewa Sasa nyie Sasa ni mwendo wa socks,Leso hamna nyingine?
 
Unatoa 150k kwa k iliofukizwa had ikapoteza ile natural scent ama unakutana na dekio tena dekio la baridi kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Atari sana!
K baridi,upana wake mto ruvu,harufu shombo la samaki angalau ukimwangalia usoni huamini harufu inatoka kwake,gogo kwa bed,pumzi sekunde kadhaa tu hoi,staili kifo cha mende staili nyingine utasikia naumia au siwezi. Nyooo.... [emoji13]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Atari sana!
K baridi,upana wake mto ruvu,harufu shombo la samaki angalau ukimwangalia usoni huamini harufu inatoka kwake,gogo kwa bed,pumzi sekunde kadhaa tu hoi,staili kifo cha mende staili nyingine utasikia naumia au siwezi. Nyooo.... [emoji13]
Inakuwa gharama aziendani thaman na huduma unayoilipia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…