Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Acha nipate zingine lakini sio uzinzi.Jamani jamani madam!! Haka kadhambi kana upekee wake ujuwe
Naogopa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha nipate zingine lakini sio uzinzi.Jamani jamani madam!! Haka kadhambi kana upekee wake ujuwe
Mwamba umesema kweli, mie kuna mmoja nilimpotezea baada ya kunitumia booking ya Overhang, $ 150 per night ndo twende huko.Hivi inakuaje unaekeana appointment na mwanamke wewe upo kazini anakuambia ameshatangulia sehemu husika halafu hiyo ndio mara ya kwanza kukutana kwa ajili ya show.
Manzi anakupa location unachukua usafiri wako unaibuka mara ghafla mtu kashatangulia reception kubook chumba alaf ni hotelini 150,000 aseh mpk nmepatwa na stroke ya ghafla. Nikajiuliza huyu anajua mfukon niko na shingp!!!!
Nikajaribu kumshawishi tuhamie lodge mbon nmeona sehemu nzuri zaid bei ya kawaida ili tuepushe matumizi yasiyokuw na lazima dem kagoma kabisa kuhama pale.
Nikaona isiwe kesi nikainuka kmya kmy nakusepa katuma msg kibao kauli yangu ile ile tubadilishe eneo tuepushe gharama bado kagoma nimeamua kusepa na kupotezea mzigo
Duh hahaha hatare sana kumbe kiswahili kina chanua ... hahahahaAh ah ah wambea mkuu.. wa kwenda kuwatangazia kama mmetoka..
Hili kosa usije ukalirudia maishani mwako. Baharia hapangiwi location na demu. Shika hii utakuja kunishukuru.Hivi inakuaje unaekeana appointment na mwanamke wewe upo kazini anakuambia ameshatangulia sehemu husika halafu hiyo ndio mara ya kwanza kukutana kwa ajili ya show.
Manzi anakupa location unachukua usafiri wako unaibuka mara ghafla mtu kashatangulia reception kubook chumba alaf ni hotelini 150,000 aseh mpk nmepatwa na stroke ya ghafla. Nikajiuliza huyu anajua mfukon niko na shingp!!!!
Nikajaribu kumshawishi tuhamie lodge mbon nmeona sehemu nzuri zaid bei ya kawaida ili tuepushe matumizi yasiyokuw na lazima dem kagoma kabisa kuhama pale.
Nikaona isiwe kesi nikainuka kmya kmy nakusepa katuma msg kibao kauli yangu ile ile tubadilishe eneo tuepushe gharama bado kagoma nimeamua kusepa na kupotezea mzigo
Na mtz bila umbea hajafanya kitu. Kweli tumelithi kila kitu toka kwa waingereza.Ah ah ah wambea mkuu.. wa kwenda kuwatangazia kama mmetoka..
Sasa ukikubali nikutongoze si unanipa maujanja?
Ona sasa ninavyofeli feli.
Mahusiano (read conjugation) ni kwa ajili ya copulation sio kujuana huko.No, Thank you
Na unafeli sana Bibie,, Unataka watu wajuane nini,,? kipi hasa ukijue kwa binadamu uliyemkuta ameishi miaka kibao,, ujue mapepo au? au muigiziane kimtindo kama movie za kihindi...
Au unataka ndoa?
Kwamba unaogopa uzinzi[emoji39][emoji23]Acha nipate zingine lakini sio uzinzi.
Naogopa sana.
Hahahahah Chumba cha elfu 10 majanga 😅 hivyo huwa tunapigia short time tu kwa kazi zisizo rasmi.Hawezi kukupeleka sehemu anayojua huwezi kulipia.
Anajua akikuzoesha kumpandisha nyeunge kila siku atakuwa wa nyehunge miaka yote. Kumbe wengine unawapandishaga ndege yeye unamuona cheap anastahili nyehunge.
Anyway. Kama hiyo hela hauna ondoka ila kama unayo unataka umlaze vyumba vya bei rahisi shindwa na ulegee na ka dushe kako kasifanye kazi.
Nb.kila mtu ale kulingana na urefu wa kamba yake. Binafsi huwezi nilaza chumba cha efu 10 wakati nina uwezo wa kujilipia chumba cha elfu 50 na nikalala mwenyewe.
Huyo demu lengo kuu la hotelini ni kuwatambia snapchat kuwa kapata boya wake anae mcare😅 hadi insta asingewaacha salama😅kama kulipia nisingeshindwa lkn mm lengo langu ni kumwambia bora tutafute chumba angalau bhas hata 30k ili hiyo nyingine nimpe km ya nauli na mambo mengine kuliko kumaliza mweny room hiyo pesa yote kuna ulazima gn!!!
mbona kuna lodge nzur 20k tena safi sana,shida wadada mnataka mauzo kuwa umelala hotelin mjipige selfie mpost ndio raha zenu!?
Samahani kidogo,wee acha tu japo mtoto anazigo ila nimeamua kuupotezea mazima ila kafeli padogo sana
Ulikuwa sahihi kwa maamuzi uliyofanya. Usifanye jambo then baadae uishi kwa majuto, usipende kuendeshwa ili tu umfurahushe mtu wakati nafsi yako haina amani. Nina uhakika hata ungekubali kulipa hiyo 150k, ungepiga mechi ya kichovu kuliko kawaida coz ungekuwa na donge na hasira moyoni.
Fanya kile unachoweza, don't try to impress others while bleeding from the inside.
Hongera kwa kuopoa kahaba.
Hiyo booking ilikuwa cash au ya maneno?
Kama ilikuwa cash demu si ndo alilipa?
Madem type ya Tunda hao. Wanaoenda exoensive hotel rooms wakajipige picha wavimbe instagram
Inategemea na unavyojipambanua kwake,kama unamwambiaga kazini kwako wewe ndio bosi na ukienda kwake unaazima gari lazima akupige mzinga wa kiwango cha lami,lakini ukipiga nae stori ukamwambia kazini kwako unakulaga wali maharage ila unaomba wakupakulie kwa mwiko wa nyama atakupiga mzinga wa barabara ya kiwango cha vumbi.
Dunian tunaishi mara moja enjoy life 150 sio mbaya km mtoto ananukia vizur ana viwango kimuonekano toa pesa bro ndo matumizi yake ayo
Mwanamke haweZi kukuomba laki km hadhi yako ni elf10 nazan kulingana na hadhi yako au jinsi ulivyojiweka kaona apo ndo panafaa