Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

Vipi wewe unayo? Sidhani kwa kauli kama hizo, itakuwa washakufumua. Nasikia zenu za marinda, hufumuliwa.

umekosa cha kuongea mpk unaanza matusi!!

punguza ujuaji binti usifikir kila mtu ataeza kujibizana matusi,kwa haraka haraka nakuona km ww unamatatizo ya akili pili majiran zako inaonekana wanapata tabu na huo ujuaji wako
 
Mkuu naungana nawewe kwasabu hakukuwa na ulazima huo pili huenda Demu hakuwa na hadhi hio,, maana masela pia huwa tunaangalia na value ya Demu...

Kingine pia Starehe ni gharama sana,,,, ukiwa mtu wa kuokoa gharama sana basi Starehe wewe sio mahala pako,, Yafaa tu uwe na manzi moja na uwe unajilia huyo kwa invoice...

Otherwise ulilofanya ni jambo la kupongezwa,, kuiacha papuchi ambayo iko ready huwa ni trap sana.....
 
Ulikuwa sahihi kwa maamuzi uliyofanya. Usifanye jambo then baadae uishi kwa majuto, usipende kuendeshwa ili tu umfurahushe mtu wakati nafsi yako haina amani. Nina uhakika hata ungekubali kulipa hiyo 150k, ungepiga mechi ya kichovu kuliko kawaida coz ungekuwa na donge na hasira moyoni.

Fanya kile unachoweza, don't try to impress others while bleeding from the inside.
 
We nae..

Mtajuana vipi sasa kabla ya mgegedo..??? kujuana tofauti na huko ni ubatili..

Vijana siku hizi wanaanzia mwisho kuja mwanzo....

We nae umekuja kuwa Old skuli sana
Sasa ukikubali nikutongoze si unanipa maujanja?

Ona sasa ninavyofeli feli.
 
Huenda kizazi chetu kinaanza kupitwa na wakati madam, wenzetu siku ya kwanza kukutana ni lodge, baada ya hapo ndio wanaanza kufahamiana
Na kweli manake ukipita kule kwenye masikhara utajiuliza hibi mie ni wa karne ipi mbona haya matukio mageni sana.

mashikolo mageni🤣🤣🤣🙊🙊
 
Na kweli manake ukipita kule kwenye masikhara utajiuliza hibi mie ni wa karne ipi mbona haya matukio mageni sana.

mashikolo mageni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji87][emoji87]
Unaionaje hiyo 150k kwa short time madam[emoji23]
 
Back
Top Bottom