Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

Kuna baadhi ya dini zinafundisha kuwa zinaa inatia ufukara ( umasikini ) ... ila hapo naona mwanamke anakuwa amepanga bei ya chumba na muhudumu yaani itayobaki ni yake.. kwanza pili hizo nyumba za wageni za bei ya juu huwa ni self - salama; kwa kuonwa na manyaku kama mmedate: ukiziringanisha na hizi za bei chee/ rahisi
 
Ulifanga jambo la maana sana. Huyo dem hajui ata Cost efficiency. Hapo unalipia hio 150k alaf unakuta show za hvyo hvyo tu.
 
Hivi inakuaje unaekeana appointment na mwanamke wewe upo kazini anakuambia ameshatangulia sehemu husika halafu hiyo ndio mara ya kwanza kukutana kwa ajili ya show.

Manzi anakupa location unachukua usafiri wako unaibuka mara ghafla mtu kashatangulia reception kubook chumba alaf ni hotelini 150,000 aseh mpk nmepatwa na stroke ya ghafla. Nikajiuliza huyu anajua mfukon niko na shingp!!!!

Nikajaribu kumshawishi tuhamie lodge mbon nmeona sehemu nzuri zaid bei ya kawaida ili tuepushe matumizi yasiyokuw na lazima dem kagoma kabisa kuhama pale.

Nikaona isiwe kesi nikainuka kmya kmy nakusepa katuma msg kibao kauli yangu ile ile tubadilishe eneo tuepushe gharama bado kagoma nimeamua kusepa na kupotezea mzigo
Na wewe inakuwaje demu ndo atafute lodge, broo mark my words hilo kosa usirudie tena unakuja kuliwa kiboga kizembezembe!
 
Probably
Ulikutana na muuzaji.

Iyo unakuta ni hotel Yake ya kupelekea vichwa vyake, yeye kakilipia siku nzima labda laki.

kwa uhakika kwa siku anapata vichwa viwili Kama Wewe.

Anaongea na mhudumu kua kila nikileta mteja sema chumba Ni 150,000.

Ukilipa Iyo pesa anabaki na 100,000 ya juu,
Iyo 50 anampoza mhudumu.

Kwa siku mkipatikana 3, anauhakika wa kuingiza laki 3 kwa chumba TU.

Hapo Bado posho utakayomuachia[emoji4]
Ni mbinu nzur ya kibiashara😀😀
 
Oaneni, uzinzi na uasherati ni uchafu na haramu.

Unafanya mwenyewe haramu halafu unamlalamikia nani? "Mali ya mlevi huliwa na mgema".
Kwani wakioana ndio gharama zitapungua? Tena hapo akimuoa mwanamke kama huyo ndio gharama za maisha zitaingezeka maana inaonekana huyo dem anapenda ufahari sana kwaiyo akishindwa kumpatia vile anavyopenda atatafta mtu nje wa kumpatia.

Alaf kuoa sio mwisho wa kwenda kulala Lodge au hotelin. Kuna mda utaitaji quality time na mkeo.
 
Back
Top Bottom