Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

Hawezi kukupeleka sehemu anayojua huwezi kulipia.
Anajua akikuzoesha kumpandisha nyeunge kila siku atakuwa wa nyehunge miaka yote. Kumbe wengine unawapandishaga ndege yeye unamuona cheap anastahili nyehunge.

Anyway. Kama hiyo hela hauna ondoka ila kama unayo unataka umlaze vyumba vya bei rahisi shindwa na ulegee na ka dushe kako kasifanye kazi.

Nb.kila mtu ale kulingana na urefu wa kamba yake. Binafsi huwezi nilaza chumba cha efu 10 wakati nina uwezo wa kujilipia chumba cha elfu 50 na nikalala mwenyewe.
Oh kumbe unajiweza...sasa nikikupeleka chumba cha laki tatu sii nitapata fursa ya kupaoasa miguu ya bia hiyo😝😝
 
hiv inakuaje unaekeana appointment na mwanamke ww upo kazin anakuambia ameshatangulia sehem husika alaf hiyo ndio mara ya kwanza kukutana kwa ajili ya show

Manz anakupa location unachukua usafiri wako unaibuka mara ghafla mtu kashatangulia reception kubook chumba alaf ni hotelini 150,000 aseh mpk nmepatwa na stroke ya ghafla.

Nikajiuliza huyu anajua mfukon niko na shingp!!!!

nikajaribu kumshawishi tuhamie lodge mbon nmeona sehem nzur zaid bei ya kawaida ili tuepushe matumizi yasiyokuw na lazima dem kagoma kabisa kuhama pale.

Nikaona isiwe kesi nikainuka kmya kmy nakusepa katuma msg kibao kauli yangu ile ile tubadilishe eneo tuepushe gharama bado kagoma nimeamua kusepa na kupotezea mzigo
Oaneni, uzinzi na uasherati ni uchafu na haramu.

Unafanya mwenyewe haramu halafu unamlalamikia nani? "Mali ya mlevi huliwa na mgema".
 
Wewe wacha watu tule mbususu....sasa hapa duniani uteseke na huko motoni pia uteseke.🤣🤣🤣🤣
Huna sababu ya kujitesa halafu ulalamike, furahia kuteseka kwako. Sasa mnalalamika kwa wenyewe kutaka "matanuzi" ya haramu?

Oaneni mle vya halali.

1 Wakorintho 6:
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Huna sababu ya kujitesa halafu ulalamike, furahia kuteseka kwako. Sasa mnalalamika kwa wenyewe kutaka "matanuzi" ya haramu?

Oaneni mle vya halali.

1 Wakorintho 6:
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Wee nae!Kwamba haujawahi kuzini tangu uzaliwe???
 
Oaneni, uzinzi na uasherati ni uchafu na haramu.

Unafanya mwenyewe haramu halafu unamlalamikia nani? "Mali ya mlevi huliwa na mgema".
Kwamba wewe umeolewa bila kufanya uzinzi.Au hayo umeyajua baada ya kupewa kitengo huko kwenye dhehebu flani.
 
Ha ha ha.....
Pole Sana mkuu.

Uyo mwanamke hakua level yako, sio kila mwanamke Unaweza mlaza kwny vyumba vyenye kunguni.

Kizuri gharama bro[emoji4]

mbona lodge nzur chini ya 30k zipo nyingi shida wanapenda ufahari
 
Huyo ni dalali bei halisi sio hiyo possible ilikuwa ni 50 kaenda kumpanga reception akuambie 150 ili ukilipa tu baada ya show anapitia 100 imeisha hiyo

labda ila kwa jins nilivyoona pale kwel bei iko juu
 
Mimi sio msanii wale maisha yao ni kujinadi hotelini. Mimi ni mtu wa kawaida ila dunia hii sinaga starehe, situmii pombe, siendagi club, sina starehe yeyote, jan to dec nikogo kwangu -kazini. Sasa imetokea ndo nimekupata badala ya kupata ka starehe kamoja hata mara moja kwa mwaka nibadirishe mazingira unanilaza chumba buku 10? Hapana.
=

Huo ni mtazamo wako upo sahihi lkn mm lengo langu lilikuw ni kupunguza gharama ambazo hazina ulazima hapo bado nikitoka tena ningemtoa na yeye pesa ya kidg ya matumizi yake

Bora ww 50k na breakfast juu mm 150k vyakula juu yangu menu ya pale aseh ni kiboko nikaona bora nikose mbunye tu nisepe japo
 
Back
Top Bottom