Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

Ha ha ha.....
Pole Sana mkuu.

Uyo mwanamke hakua level yako, sio kila mwanamke Unaweza mlaza kwny vyumba vyenye kunguni.

Kizuri gharama bro[emoji4]
 
Cha elf 17 hapo vp??😁😁
 
Probably
Ulikutana na muuzaji.

Iyo unakuta ni hotel Yake ya kupelekea vichwa vyake, yeye kakilipia siku nzima labda laki.

kwa uhakika kwa siku anapata vichwa viwili Kama Wewe.

Anaongea na mhudumu kua kila nikileta mteja sema chumba Ni 150,000.

Ukilipa Iyo pesa anabaki na 100,000 ya juu,
Iyo 50 anampoza mhudumu.

Kwa siku mkipatikana 3, anauhakika wa kuingiza laki 3 kwa chumba TU.

Hapo Bado posho utakayomuachia[emoji4]
 
Cha elf 17 hapo vp??😁😁
Nyooolooo siwezi maisha ni mafupi, hela hata uzibanie elfu 50 haiwezi kununua gari.

Mwezi wa 11 nilikuwa naenda nyumbani kijijini nikafika mjini gari za nyumbani zimeisha nikasema siendi kwa shangazi staki jam afu mbali na stend.

Nikawauliza washikaji zangu hotel nzuri wakanambia kuna lodge za 20 nzuri nikasema nataka hotel. Nikawaza hivi hotel nzuri lazima nilale nikiwa nimetoka na mwanaume?

Nikaingia Google map location hapo nilipo simama stend hotel zote nikawa nikaziona.na hiyo hotel walonambia ikiwemo. Chap naita tax wakasema sister iko karibu tukubebee mabegi, chap tukafika dah mazingira safi , wakasema sh 50, 000 sikutaka hata longolongo wakanionesha room.

Sasa wale washikaji walonisindikiza wakauliza nina shemeji.? Yaan hawaamini nalala pale mwenyewe.. kuingia mule chumba kina kila kitu cha muhimu. Nikaoga maji safi msosi nikaletewa, nililala kama beibi mashuka makali duvet coton ile ya kiwango ,achana na zile za kariakoo za elfu 30 dah, dah sikujutia hela yangu

Asubuhi naamshwa chai ya nguvu na supu ya kuku dah.

Saa 3 asubuhi wale washikaji zangu , ni wa kitambo tangu nasomaga sekondari wakogo hapo stend wakaijia mabegi yangu nikawapiga breakfast ya maana nkaenda zangu kijijini kujilia ndizi.
 
Nyooolooo siwezi maisha ni mafupi, hela hata uzibanie elfu 50 haiwezi kununua gari.

Mwezi wa 11 nilikuwa naenda nyumbani kijijini nikafika mjini gari za nyumbani zimeisha nikasema siendi kwa shangazi staki jam afu mbali na stend.
Vipi umeshaondoka migombani?😊
 
Mimi sio msanii wale maisha yao ni kujinadi hotelini. Mimi ni mtu wa kawaida ila dunia hii sinaga starehe, situmii pombe, siendagi club, sina starehe yeyote, jan to dec nikogo kwangu -kazini. Sasa imetokea ndo nimekupata badala ya kupata ka starehe kamoja hata mara moja kwa mwaka nibadirishe mazingira unanilaza chumba buku 10? Hapana.

Kizuri mimi nimuwazi nakwambia baby mpaka nakuja kwako na mimi kuna gharama nimeingia, zawadi kibao nimekubebea nguo kali nimekubebea zote jumla haviko chini ya laki wewe unilaze vyumba vya buku 20? Hapana baby unatakiwa na wewe kuingia gharama kidogo.its whether tulale hotelini au unipeleke kwako.

Kama wewe ni mme wa mtu unaogopa nipeleka kwako mme gani huna hata 50 ya hotel? .

Mkuu ukidate mtu msome kwanza jua kama ni anastail hizo gharama ama ni zoa zoa au ni mtu anaejiheshimu?

Mpaka nadate na wewe nakuwa nishajihakikishia kuwa huwezi nipeleka lodge za mothers union.
 
Aisee...raha jipe mwenyewe.

Na kupanga ni kuchagua.
 
[emoji134]pole

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Wew unalalama card b anatusifia [emoji38][emoji38]
 
Ahahaha..tu enjoy tu maisha yenyewe ndio haya haya tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…