Upara mara nyingi huleta hisia kali ya kujiamini. Wanaume wanaonyoa upara wao huonekana kuwa na ujasiri na salama katika sura zao, sifa ambazo wanawake wengi huona zikiwavutia. Zaidi ya hayo, upara unaweza kusisitiza sifa za kijadi za kiume, na kuongeza mvuto wa jumla wa mtu.
Sababu nyingine unajua kichwa ni kichwa tu hata cha chini hakunaga nywele kinavutwa. So hata kichwa kikubwa kikiwa hakina nywele kikishikwa kina resemble na kile. Nyoeni vipara ngozi ipate hewa.
We bwana sema tu umetoka kiualaza sasa hukitaki utaonekana mzee unaanza kujifariji fariji na kipara jikubali kule Arusha kuna rasta ana kiualaza kabisaa huku rasta kule rasta katikati kipara
Tafiti zinaonyesha watu wenye vipara ni mahaba Niue yaani wanadondokeaga mazima na wengi akipenda hasikii tena na wengi wako romantic,na unaweza kukubali kufanya lolote amlidhishe pisi wake