ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Upara mara nyingi huleta hisia kali ya kujiamini. Wanaume wanaonyoa upara wao huonekana kuwa na ujasiri na salama katika sura zao, sifa ambazo wanawake wengi huona zikiwavutia. Zaidi ya hayo, upara unaweza kusisitiza sifa za kijadi za kiume, na kuongeza mvuto wa jumla wa mtu.
Sababu nyingine unajua kichwa ni kichwa tu hata cha chini hakunaga nywele kinavutwa. So hata kichwa kikubwa kikiwa hakina nywele kikishikwa kina resemble na kile. Nyoeni vipara ngozi ipate hewa.
Sababu nyingine unajua kichwa ni kichwa tu hata cha chini hakunaga nywele kinavutwa. So hata kichwa kikubwa kikiwa hakina nywele kikishikwa kina resemble na kile. Nyoeni vipara ngozi ipate hewa.