Tena huku kwenye kupanga ndio anazeeka vibaya maana wengi huwa wanakuwa na mahusiano ya watu wengi ili walipiwe bili so uaminifu ni zero na hakuna mwanaume anapenda mwanamke mwizi mwizi wa mahusiano.Kwani mwanamke akipanga chumba na akachelewa kuolewa kwani hazeekei hapo alipo panga chumba?
Ni kweli kuna mdogo wetu wakike aliondoka nyumbani kwenda kupanga chumba kwa kisingizio nyumbani ni mbali na chuo na wenzake wanajisomea usiku na yeye hana kosa kuwa nao pamoja, alivyoenda kupanga chumba na wanachuo wenzake baada ya miezi 6 akarudi nyumba naisi maisha yalimshinda, nilimwambia kama unaenda kupanga kwa kutegemea mkopo wako wa chuo husituombe pesa ya chakula.Kama yapi mkuu? Mm nitamrusu binti yangu kupanga iwapo atakuwa amepata kazi nzuri na yenye mshahara mzuri mbali na nyumbani kwangu, tofauti na hapo haondoki nyumbani na akirazimisha kuondoka akatufute baba yake mwingine.
😂😂😂oya kweli mkuu yaani hapa kama umenilenga mimiNa wengi wakikupeleka ghetto kwake anataka uanze kununua vitu vya ndani.
Utasikia, 'uje uninunulie TV basi.'
😂😂Unaidharau laki mbili?
Uliwah sanaKukaa kwa ndugu mtihani aisee. Mimi nilianza kupanga nina miaka 25
Ukizungumzia maisha ya sasa kupata kazi yenye mshahara mzuri sio rahisi unaweza fika miaka 35 usiipate nenda jukwaa la ajira na kazi uone watu kwahio utakaa home mpaka 40 inafika pia na kupata hio kazi unaweza usiipate....90% ya watu mtaani kipato chao hakizidi 300K kwa Mwezi na mwenye 300K anavimba na kila kijana anatamani awe na hio kaziHata kama, Laki na nusu sio hela mkuu Kwa maisha ya Sasa amabyo Kila kitu kinahitaji pesa..
Yaan unakuta manzi hata sura haieleweki maana imemkomaa hatari hela ya lotion hana
Nilipata kazi mbali na nyumbani ningekaa wapi? Kwa ndugu siweziUliwah sana
Hii ni sawa kabisa na itawasaidia mabinti wengi mjini hapa, tatizo lao wanaona wanajiweza in reality hali zao ni mbaya kiuchumi.Kama Hana Ndugu mjini anabidi wakae gheto moja watu watatu ili wafanye cost sharing hii kwa kipato Cha 200k anaweza kuishi vizuri tu.
Wengi humu hawajakomaa kiakili ndugu [emoji23]Hii ndo shida ya watz hantumii Akili kujibu hoja Bali mnajibu tu yaani hausomi kuelewa unasoma ili kujibu.
Sass unabisha nini?... nilogombana na mke wake...akaniambia niondoke nyumbani kwakeWewe unataka kuhalalisha uongo wako kuwa ukweli, yaani akuambie tu ondoka kwangu kwa sababu ya makosa madogomadogo hapana, kwanza unarudishwa kijijini kwenu Moshi Arusha ili akawaeleze wazazi sababu ya kukurudisha nyumbani, au ulikimbia nyumbani mwenyewe kwa sababu unazozijua wewe.
Kabisaaaa yaani[emoji2]Me hapana jamani. Sina tabia za kuhitaji uhuru wa hivyo.
Ningekuwa mtaa mmoja na wazazi wangu. Wallah nisingechezea pesa kulipia kodi na kujilea.