Atlantic Star
JF-Expert Member
- Feb 22, 2023
- 539
- 1,696
........upo sahihi mkuu, wengi wao wanaoondoka nyumbani na kupanga, huwa makwao kuna hali ngumu kiasi kwamba anajihisi ni mzigo, kwa hiyo hata kutafuta kwake kazi inakua ni ili siku moja aweze kujitegemea, ukizingatia kwamba kwa leo hii ni ngumu mwanamke kupata mwanaume muoaji ili atoke nyumbani aolewe, wengi wanazalishwa, so asipojiongeza anazalia nyumbani au kuzeekea nyumbani.......Unamjua Mkuu watu wana genaralized mambo hawajui Hali halisi za Watz hasa wakiwa mijini Kama Daslama mtu Ndugu anao yes lakini wapo hoi hata Sehemu ya kulala Hakuna achilia Mbali chakula
Demu/ Mwanamke kuamua kupanga ni startup nzuri ya kujitafta swala kuangukia Katika umalaya ni pale tu kukosa MAARIFA sahihi ya kujiendesha . Na tabia binafsi za mtu.
........changamoto waliyonayo wanawake wengi na ambayo wanapaswa kubadilika ni kujaribu kuvimba pale wanapopata kazi na kudhani wamemaliza coz maisha ya kujitegemea ni magumu, wawe tayari kurudisha mpira kwa beki na kujipanga
upya, hii hata sisi wanaume huwa tunafanya wakati wa utafutaji, wasione aibu inaruhusiwa pale maji yakifika shingoni......
......maoni: Kwa sisi wanaume ikitokea unamuona binti ni mpambanaji tujaribu kuwapa sapoti, kuwatia moyo na ushauri namna ya kuongezea kipato ili kukudhi haja zao na kufikia ndoto zao, tusiwatumie kimwili hata kama wanajilengesha humo maofisini......mind you sio rahisi sana kukuta watoto wa kishua wanakimbilia kupanga, wengi njaa kali tu na hata kimaadili haipendezi mtoto was kike kupanga inasense kama uhuni.......