Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kwa mtoto wakike sawa. Unafanya kazi, hujatoka kwenu, haujengi na hauna mpango huo sasa wewe nyumbani utaondoka kweli?Me hapana jamani. Sina tabia za kuhitaji uhuru wa hivyo.
Ningekuwa mtaa mmoja na wazazi wangu. Wallah nisingechezea pesa kulipia kodi na kujilea.