Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,859
- 4,539
Hata kama, Laki na nusu sio hela mkuu Kwa maisha ya Sasa amabyo Kila kitu kinahitaji pesa..😂 lakini kumbukeni hao wa laki na nusu hawana PAYE, NSSF, Bima nk
Yaan unakuta manzi hata sura haieleweki maana imemkomaa hatari hela ya lotion hana