Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,780
- 6,133
Hiiiiiiiiiiiiiiiiii!Utasikia nataka hata hisense nchi 32 unaishia kumwangalia tu na kucheka ki magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiiiiiiiiiiiiiiiiii!Utasikia nataka hata hisense nchi 32 unaishia kumwangalia tu na kucheka ki magufuli
Kuna Binti mkoa wa waTalii, Wilaya ya kupokea waTalii kibao, alikua anafanya kazi ya mshahara wa laki mbili na themanini elfu kwa mwezi, Kodi ya nyumba kwa mwezi analipa laki na ishirini, na ana vitu ndani kama ni mwenye kipato kizuri, yaani kiufupi kwa sasa biashara za kujiuza ziko ktk mbinu nyingi sana, vyumba vya kupanga, barbershops n.kHabari ya maandilizi ya sikukuu,
Kuna hii tabia ya mabinti tena wadogo kwenye early 20s wakipata tu vikazi hata iwe saluni au mgahawani wanakimbilia kupanga ili wajitegemee.
Kusema kweli hii imekuwa kero kwa sie hasa wa maofisini, hawa mabinti wanaojitegemea ni kama wanageuka omba omba, hapa nazungumzia hawa wanaofanya usafi walioajiriwa kwenye kampuni za usafi, kuna wanaouza matunda na juisi maofisini wengine wanatembeza korosho na soksi, siongelei wote ila wengi wao ni kama wanajiuza au kuishia kuomba omba maofisini kwa sisi wafanyakazi wa kiume.
Ukimuomba namba leo kesho hana kodi na sio kwamba wanatania ni kweli unaona kabisa meseji za mwenye nyumba na missed calls kibao. Hasa unajiuliza why ulikimbilia kupanga kazi yenyewe ya laki 2.
Kwanini usibakie na wazazi au ndugu kama ulivyoishi kabla ya kuajiriwa? Wengi Wanaangukia kujiuza au kuwa omba omba maofisini.
Kwanini mnakimbilia kujitegemea?
Na tamaa ndio zinatuponza wengi. Both me & keKwa Mshahara wa laki mbili kama uko karibu na eneo lako la kazi tena kama Mbagala ambako maisha yako chini inatosha labda tamaa zikuzidie na wengi hapa ndo hiponzwa
Hela haijawai kutosha yani kuna mwengine unaeza kuta analalamika afu ana mshahara 1M kikubwa ni nidhamu yako ya matumizi tuNa tamaa ndio zinatuponza wengi. Both me & ke
Hata hao wa mshahara mkubwa nao wana tamaa ndio maana wengine wanakwiba mali za umma/ ofisi.
Ni ngumu sana kama kuna mwanya wa udokozi na mtu akaacha bila kudokoa 😂
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata kama, Laki na nusu sio hela mkuu Kwa maisha ya Sasa amabyo Kila kitu kinahitaji pesa..
Yaan unakuta manzi hata sura haieleweki maana imemkomaa hatari hela ya lotion hana
Vayolensiiiiina wewe pia
Ndio maana unawasingizia watoto wa watu wenye income za laki 2. Pasipo kuelewa mambo ya ngozi hayaangalii ni una hela au huna. Kama ngozi ni chachu itabaki kuwa chachu tu. Mf mdogo angalia humo kazini kwenu
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
💯🤝Ningekuwa mtaa mmoja na wazazi wangu. Wallah nisingechezea pesa kulipia kodi na kujilea.
Ngozi ikiwa na nuru unakubalika sehemu za watu hata kwenye kuomba kazi 😄Ngozi ikiwa na Nuru inampa mtu faida gani?
Kwa mwanamke ngozi ikiwa na nuru inaongeza urembo na mvutoNgozi ikiwa na nuru unakubalika sehemu za watu hata kwenye kuomba kazi 😄
Sura ikikauka sana ukisimama mbele za watu wanakuwa hawakuamini amini nyota yako inakuwa inashuka 😀
Hizo ndo Akili za mtu mweusi anatazama sura na sio kilichopo kichwani WTF.Ngozi ikiwa na nuru unakubalika sehemu za watu hata kwenye kuomba kazi 😄
Sura ikikauka sana ukisimama mbele za watu wanakuwa hawakuamini amini nyota yako inakuwa inashuka 😀
Wewe kama mzazi unawajibikaje kipindi hicho binti yetu anapitia changamoto ya namna hiyo?!Binti kama hana kipato cha uhakika hata kama ana tabia njema ni razima ataharibika tu na kuwa kahaba.
Umalaya mdogo mdogo tunaouona maofisini unachangiww na dhiki sio uhuniUnamjua Mkuu watu wana genaralized mambo hawajui Hali halisi za Watz hasa wakiwa mijini Kama Daslama mtu Ndugu anao yes lakini wapo hoi hata Sehemu ya kulala Hakuna achilia Mbali chakula
Demu/ Mwanamke kuamua kupanga ni startup nzuri ya kujitafta swala kuangukia Katika umalaya ni pale tu kukosa MAARIFA sahihi ya kujiendesha . Na tabia binafsi za mtu.
Wewe unataka kuhalalisha uongo wako kuwa ukweli, yaani akuambie tu ondoka kwangu kwa sababu ya makosa madogomadogo hapana, kwanza unarudishwa kijijini kwenu Moshi Arusha ili akawaeleze wazazi sababu ya kukurudisha nyumbani, au ulikimbia nyumbani mwenyewe kwa sababu unazozijua wewe.Mimi
..nilipanga kwasababu.kaka yangu alinifukuza kwake
Kwani mwanamke akipanga chumba na akachelewa kuolewa kwani hazeekei hapo alipo panga chumba?Utaondoka ukiolewa
Na ukichelewa kuolewa unazeekea hapo
[emoji23][emoji1787]