Kwanini wanawake mnapenda wanaume wenye ushawishi, pesa na magari?

Kipunga

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2021
Posts
264
Reaction score
590
Leo nawauliza wanawake kwanini mnapenda wanaume wenye ushawishi pesa/magari?

Mimi ni kijana lakini hua nakataliwa sana na mabinti hadi nikawa nahisi nimerogwa sasa siku moja kaka yangu akaja Mwanza na gari lake aina ya crown nyeusi akapata dharula ya kwnda nchi jirani ikabidi gari aliache na funguo akanikabidhi.

Aiseeee huezi amini nakula wotot wa watu/dada za watu balaa hadi walio nikataaga hadi wengine nawachunia wanaume tutufte pesa gari ni mtego wa wanawake.sasa ndio nawauliza wanawake kwanin mnapenda vitu sio mtu?


 
Kuna jamaa kasema kitu kimoja kwenye uzi fulani nimemuelewa sana.

Maisha ya siku hizi watu hawana zile natural feelings sababu mwanamke automatically anatakiwa ataman laba harufu,kifua,mwili,ndevu,sauti vya mwanaume ila nowadays ni tofauti ukishakua na pesa basiii
 
Pesa ni sabuni ya mambo yote sio roho tu! Tafuta pesa hutateswa na mapenzi hata siku moja mkuu. Ukifanikiwa ukawa na mapesa mingi utaweza kununua kila kitu, utanunua vyote, haki, maamuzi na uhuru wa mwanamke yeyote hapa chini ya jua. Yaani Lucifer atakupa mbinu nyingi mno za kufanya na pesa mpaka utashangaa hasa upande wa ANASA..
 
Hata Mimi hiyo statement imenigusa na nimeielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…