Kwanini wanawake mnapenda wanaume wenye ushawishi, pesa na magari?

Kwanini wanawake mnapenda wanaume wenye ushawishi, pesa na magari?

Kupenda pesa sio umalaya bali ni kuelewa kuwa pesa ina umuhimu maishani. Pesa sio kinogesho cha mapenzi, bali ni kitu kinachotakiwa kiwepo sio tu kwenye mapenzi, hata kwenye maisha. Tukubali tu ukweli hata kama ukweli huo unakutia hasira kiasi gani😀😀. Personally siwezi kuvutiwa kimapenzi na mwanaume asiye na pesa. Navutiwa kimapenzi na mwenye pesa..kama wengine wanavovutiwa na six packs, vifua, ndevu, sura nzuri n.k mimi navutiwa na pesa. Kwa hiyo mtu kuvutiwa na pesa sio umalaya ni kupenda tu pesa kama wengine wanavopenda hizo six packs n.k. Ni issue tu ya kuelewa kuwa binadamu wapo tofauti na wanavutiwa na vitu tofauti. ILA PESA TAMU AISEE...😃😃😛😋😋😂😂
Nampa pole sana huyo boy ulie nae anapoteza time
 
Hivi kweli na nyie mnaridhika na kupata ujasiri kabisa... ilhali unajua kabisa hapa sijapendwa mimi bali mali ninazo miliki?
 
Nampa pole sana huyo boy ulie nae anapoteza time
Hapotezi time hata kidogo. Wewe ndo unapoteza time kuwa msemaji wa ndoa yetu😂😂😂. Kutoa pesa kwake sio tatizo ila wewe ndo unataka umuaminishe alione ni tatizo😂😂😂😂
 
Hapotezi time hata kidogo. Wewe ndo unapoteza time kuwa msemaji wa ndoa yetu😂😂😂. Kutoa pesa kwake sio tatizo ila wewe ndo unataka umuaminishe alione ni tatizo😂😂😂😂
Namuonea huruma sana kwa sababu hana mwanamke ana malaya mpenda pesa.siku zikiisha mbiooo
 
Namuonea huruma sana kwa sababu hana mwanamke ana malaya mpenda pesa.siku zikiisha mbiooo
Hahahha..wanaume wote wasio na pesa huwaita wanawake malaya..Sasa si bora kuwa kupenda hela kuliko kuwa mama huruma😂😂😂😂. Halafu alokwambia nitamkimbia nani?😀😂. Punguza hasira tafuta pesa🤣😛😛.

Yaani ukiwa na hela huwezi ukatumia siku zote hizi kulalamika kwanini wanawake wanapenda hela😀. We mwenyewe hela unaipenda acha makasiriko baby😀😛
 
Back
Top Bottom