Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Mdoa mada unakwama wapi?mimi sina hata baiskeli lakini papuchi nazikimbia mwenyewe ni nyingi mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunua gari mkuu hata mkweche wa 2 million mradi una matairi na AC ndani jiandae kupata Ukimwi 😊😅😅 wa voda fastaNishajua ni kwanini sipendwi
Ukweli mchunguKAMA UNAHITAJI HELA UPENDWE NA WANAWAKE BASI WE HUNA MVUTO.
Leo nawauliza wanawake kwanini mnapenda wanaume wenye ushawishi pesa/magari?
Mim nikijana lakini hua nakataliwa sana na mabinti hadi nikawa nahisi nimerogwa sasa siku moja kaka yangu akaja Mwanza na gari lake aina ya crown nyeusi akapata dharula ya kwnda nchi jirani ikabidi gari aliache na funguo akanikabidhi.
Aiseeee huezi amini nakula wotot wa watu/dada za watu balaa hadi walio nikataaga hadi wengine nawachunia wanaume tutufte pesa gari ni mtego wa wanawake.sasa ndio nawauliza wanawake kwanin mnapenda vitu sio mtu?
Wewe hupendi pesaLeo nawauliza wanawake kwanini mnapenda wanaume wenye ushawishi pesa/magari?

Wewe hupendi kuwa na ushawishi, pesa na magari?[emoji848][emoji848]hakuna binadamu anayependa shida[emoji3][emoji3] . So kinamama tunajisogeza karibu na vitu vizuri[emoji3]
Wewe hupendi pesaLeo nawauliza wanawake kwanini mnapenda wanaume wenye ushawishi pesa/magari?
Mim nikijana lakini hua nakataliwa sana na mabinti hadi nikawa nahisi nimerogwa sasa siku moja kaka yangu akaja Mwanza na gari lake aina ya crown nyeusi akapata dharula ya kwnda nchi jirani ikabidi gari aliache na funguo akanikabidhi.
Aiseeee huezi amini nakula wotot wa watu/dada za watu balaa hadi walio nikataaga hadi wengine nawachunia wanaume tutufte pesa gari ni mtego wa wanawake.sasa ndio nawauliza wanawake kwanin mnapenda vitu sio mtu?
Mvuto peleka mashindano ta Mr. Tanzania. Sisi kinamam tunataka pesa tu. Ukiwa na mvuto ukisimama ATM itatoa pesa??🤣🤣.KAMA UNAHITAJI HELA UPENDWE NA WANAWAKE BASI WE HUNA MVUTO.
Sawa ila mjiandae kulia
Mtatoa laana zenu na zitaishia hewani
Utaliwa na bor
Kulia kupo tu.Bora ulizwe na mwenye pesa kuliko asiye na pesa🤣Sawa ila mjiandae kulia
Mtatoa laana zenu na zitaishia hewani
Utaliwa na utapigwa chini
kama we kwa mwanaume unataka pesa tu basi we ni malaya. pesa ni kinogesho tu cha mapenzi ndo mana mnaoangalia pesa mnaishia kuchepuka na wanaume waliowavutia kimapenzi, kwa hio mwisho wa siku tunarudi palepale nnapomaanisha mimiWewe hupendi pesa
Mvuto peleka mashindano ta Mr. Tanzania. Sisi kinamam tunataka pesa tu. Ukiwa na mvuto ukisimama ATM itatoa pesa??[emoji1787][emoji1787].
Mvuto wa kiume ni mfukoni tu, otherwise utafute mijimama yenye pesa na yenye sura ngumu ndo inapenda mvuto[emoji3]
Fanya mambo mkuu, Ist new model 20M. La 2M ntakua nalala na spana. Madalali hawana huruma mkuu.Nunua gari mkuu hata mkweche wa 2 million mradi una matairi na AC ndani jiandae kupata Ukimwi 😊😅😅 wa voda fasta
Leo nawauliza wanawake kwanini mnapenda wanaume wenye ushawishi pesa/magari?
Mim nikijana lakini hua nakataliwa sana na mabinti hadi nikawa nahisi nimerogwa sasa siku moja kaka yangu akaja Mwanza na gari lake aina ya crown nyeusi akapata dharula ya kwnda nchi jirani ikabidi gari aliache na funguo akanikabidhi.
Aiseeee huezi amini nakula wotot wa watu/dada za watu balaa hadi walio nikataaga hadi wengine nawachunia wanaume tutufte pesa gari ni mtego wa wanawake.sasa ndio nawauliza wanawake kwanin mnapenda vitu sio mtu?
Hii Dunia dumee una pesa wewe umemaliza kila kitu hata kama una kasoro zzote za mwili wako au hata kama una tabia chafu basi wanawake watakutaka tu na kujidai kukupenda wanachotka ni zileee pesaaaa .mapenzi ya kifua sijui sauti sijui kijasho chako yamepitwa na wakati .Una pesa utakula bata huna kalale .Wanawake wanapebda materialistic ndio maana mastar wote wanawachezea wanavyopenda.Kuna jamaa kasema kitu kimoja kwenye uzi fulani nimemuelewa sana.
Maisha ya siku hizi watu hawana zile natural feelings sababu mwanamke automatically anatakiwa ataman laba harufu,kifua,mwili,ndevu,sauti vya mwanaume ila nowadays ni tofauti ukishakua na pesa basiii
Mtu hapendi shida kwa mgongo wa mtoto wa mwenzio.Mtu kama.hapendi shida si anatakiwa yeye awe wa kwanza kujitengenezea mazingira ya kuishi kwa raha kwa maana ya kujipambania maisha yakeHata kama mwanamke hataonyesha wazi kupenda vitu hivyo ila moyoni anavipenda.
Kiasili mwanamke hapendi/hajazoea shida. Kwahiyo kumpata anaevumilia haimaanishi hapendi.
Suluhisho: Tutatute pesa kwa nguvu ili familia zetu ziwe na amani na ulinzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii comment iwekewe lamination kabisaHakuna mtu anaependa shida.....
Kupenda pesa sio umalaya bali ni kuelewa kuwa pesa ina umuhimu maishani. Pesa sio kinogesho cha mapenzi, bali ni kitu kinachotakiwa kiwepo sio tu kwenye mapenzi, hata kwenye maisha. Tukubali tu ukweli hata kama ukweli huo unakutia hasira kiasi gani😀😀. Personally siwezi kuvutiwa kimapenzi na mwanaume asiye na pesa. Navutiwa kimapenzi na mwenye pesa..kama wengine wanavovutiwa na six packs, vifua, ndevu, sura nzuri n.k mimi navutiwa na pesa. Kwa hiyo mtu kuvutiwa na pesa sio umalaya ni kupenda tu pesa kama wengine wanavopenda hizo six packs n.k. Ni issue tu ya kuelewa kuwa binadamu wapo tofauti na wanavutiwa na vitu tofauti. ILA PESA TAMU AISEE...😃😃😛😋😋😂😂kama we kwa mwanaume unataka pesa tu basi we ni malaya. pesa ni kinogesho tu cha mapenzi ndo mana mnaoangalia pesa mnaishia kuchepuka na wanaume waliowavutia kimapenzi, kwa hio mwisho wa siku tunarudi palepale nnapomaanisha mimi
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
[emoji706]Kupenda pesa sio umalaya bali ni kuelewa kuwa pesa ina umuhimu maishani. Pesa sio kinogesho cha mapenzi, bali ni kitu kinachotakiwa kiwepo sio tu kwenye mapenzi, hata kwenye maisha. Tukubali tu ukweli hata kama ukweli huo unakutia hasira kiasi gani[emoji3][emoji3]. Personally siwezi kuvutiwa kimapenzi na mwanaume asiye na pesa. Navutiwa kimapenzi na mwenye pesa..kama wengine wanavovutiwa na six packs, vifua, ndevu, sura nzuri n.k mimi navutiwa na pesa. Kwa hiyo mtu kuvutiwa na pesa sio umalaya ni kupenda tu pesa kama wengine wanavopenda hizo six packs n.k. Ni issue tu ya kuelewa kuwa binadamu wapo tofauti na wanavutiwa na vitu tofauti. ILA PESA TAMU AISEE...[emoji2][emoji2][emoji14][emoji39][emoji39][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂. Pole sana
Senti [emoji846][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pole sana