Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Hujui sisi tunatakajeHata kama mwanamke hataonyesha wazi kupenda vitu hivyo ila moyoni anavipenda.
Kiasili mwanamke hapendi/hajazoea shida. Kwahiyo kumpata anaevumilia haimaanishi hapendi.
Suluhisho: Tutatute pesa kwa nguvu ili familia zetu ziwe na amani na ulinzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wanajua una hela ndio maana. Wanawake baadhi wanatamaaLeo nawauliza wanawake kwanini mnapenda wanaume wenye ushawishi pesa/magari
Mim nikijana lakini hua nakataliwa sana na mabinti hadi nikawa nahisi nimerogwa sasa siku moja kaka yangu akaja Mwanza na gari lake aina ya crown nyeusi akapata dharula ya kwnda nchi jirani ikabidi gari aliache na funguo akanikabidhi.
Aiseeee huezi amini nakula wotot wa watu/dada za watu balaa hadi walio nikataaga hadi wengine nawachunia wanaume tutufte pesa gari ni mtego wa wanawake.sasa ndio nawauliza wanawake kwanin mnapenda vitu sio mtu?
GariiiSio gari hata box ukiwanayo mule mule imladi kiwe chombo cha moto
Leo nawauliza wanawake kwanini mnapenda wanaume wenye ushawishi pesa/magari
Mim nikijana lakini hua nakataliwa sana na mabinti hadi nikawa nahisi nimerogwa sasa siku moja kaka yangu akaja Mwanza na gari lake aina ya crown nyeusi akapata dharula ya kwnda nchi jirani ikabidi gari aliache na funguo akanikabidhi.
Aiseeee huezi amini nakula wotot wa watu/dada za watu balaa hadi walio nikataaga hadi wengine nawachunia wanaume tutufte pesa gari ni mtego wa wanawake.sasa ndio nawauliza wana
wake kwanin mnapenda vitu sioHa mt
[emoji15][emoji15][emoji15] kumbe hivyo mpka wake za watu unakula..? Jiandae mkuu na wewe usije liwa maana unajuaSio baadhi ni wote kama ni baadhi mbona hawanikatai nikiwa na gari hadi wake za watu nimekula
Huu ushawishi Ana maana gani mbon mm sijaelewa ushawishi huu ni wa nn!?Hakuna mtu anaependa shida.....
Hilo nalo neno.Kuhusu magari,sio kila mwenye gari ana hela
Kuhusu hela inanogesha mapenzi,penzi la bila chapaa halinogi!!!
Na sio lazima uwe nazo nyingi hata miambili ukiitumia vizuri inaongeza msisimko
Ongea wew mkuu mm nmeimba Sana hii kitu naona mtoa mada kakimbiaUGEREKEBISHA KICHWA CHAKO CHA UZI: KWANINI WANAWAKE WANAWAPENDA WANAUME WENYE PESA NA MAGARI?
Kama ni nguvu ya ushawishi kila mtu anayo ila inategemea yupo wapi?
Umeongea point kubwa hasa hapo mwisho, lakini gari huwezi kuwa nalo usiwe na pesa sasa mafuta unaweka na nini,. Lazima utaliuza yaani uko na Crown huna chapaaKuhusu magari,sio kila mwenye gari ana hela
Kuhusu hela inanogesha mapenzi,penzi la bila chapaa halinogi!!!
Na sio lazima uwe nazo nyingi hata miambili ukiitumia vizuri inaongeza msisimko