Kwanini wanawake mnapenda wanaume wenye ushawishi, pesa na magari?

Mdoa mada unakwama wapi?mimi sina hata baiskeli lakini papuchi nazikimbia mwenyewe ni nyingi mno
 

Ni watu wanaopenda kulingishiana,
Ni watu wa jamii na mashosti wanamuonaje,
Utasikia ana gari, ana sura nzuri, ana sifa so and so....amabazo wao wanaona ni sifa wakati bure tuu..
Ukiwaelewa wanawake hutakuwa na huruma nao nakwambia...
 
Wewe hupendi pesa
 
Wewe hupendi kuwa na ushawishi, pesa na magari?πŸ€”πŸ€”hakuna binadamu anayependa shidaπŸ˜€πŸ˜€ . So kinamama tunajisogeza karibu na vitu vizuriπŸ˜€
 
Wewe hupendi kuwa na ushawishi, pesa na magari?[emoji848][emoji848]hakuna binadamu anayependa shida[emoji3][emoji3] . So kinamama tunajisogeza karibu na vitu vizuri[emoji3]

Sawa ila mjiandae kulia
Mtatoa laana zenu na zitaishia hewani
Utaliwa na utapigwa chini
 
Wewe hupendi pesa
KAMA UNAHITAJI HELA UPENDWE NA WANAWAKE BASI WE HUNA MVUTO.
Mvuto peleka mashindano ta Mr. Tanzania. Sisi kinamam tunataka pesa tu. Ukiwa na mvuto ukisimama ATM itatoa pesa??🀣🀣.
Mvuto wa kiume ni mfukoni tu, otherwise utafute mijimama yenye pesa na yenye sura ngumu ndo inapenda mvutoπŸ˜€
 
kama we kwa mwanaume unataka pesa tu basi we ni malaya. pesa ni kinogesho tu cha mapenzi ndo mana mnaoangalia pesa mnaishia kuchepuka na wanaume waliowavutia kimapenzi, kwa hio mwisho wa siku tunarudi palepale nnapomaanisha mimi

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Nunua gari mkuu hata mkweche wa 2 million mradi una matairi na AC ndani jiandae kupata Ukimwi πŸ˜ŠπŸ˜…πŸ˜… wa voda fasta
Fanya mambo mkuu, Ist new model 20M. La 2M ntakua nalala na spana. Madalali hawana huruma mkuu.
 

Nina rafiki yangu kazini aliwahi kunipa tathmini baada ya research yake ndogo tu.

Aliniambia β€œmdogo wangu unajua sisi waenda kwa miguu tunatumia gharama nyingi sana mpaka ufanikiwe kumshawishi mwanamke na kumnasa mtegoni. Akasema tazama watu wenye magari, huwa hawatumii nguvu hata kidogo kwenye ushawishi wa kumnasa mwanamke. Anaweza akamnyandua mdada na hata Pepsi ya jero tu asimnunulie kisa tu yupo na gari” Na uzuri wa wadada wengi wenye tamaa hiyo, huwa hawataki kujua kama hilo gari lenyewe ni lako au umeazima wanakupa ushirikiano asilimia kubwa tu..!

Na asilimia kubwa ya wahanga wa KUTUMA
NA YA KUTOLEA hawanaga magari. Hii kama kamari wanaume wenzangu mnanielewa. Unaweza kutuma nauli kwa wadada watano pengine mmoja tu ndio akakufata. Lakini kama ndio una gari unakuwa na uhakika mkubwa wa kuwa karibu na mabinti.!

Yangu ni hayo tu !
 
Hii Dunia dumee una pesa wewe umemaliza kila kitu hata kama una kasoro zzote za mwili wako au hata kama una tabia chafu basi wanawake watakutaka tu na kujidai kukupenda wanachotka ni zileee pesaaaa .mapenzi ya kifua sijui sauti sijui kijasho chako yamepitwa na wakati .Una pesa utakula bata huna kalale .Wanawake wanapebda materialistic ndio maana mastar wote wanawachezea wanavyopenda.
 
Mtu hapendi shida kwa mgongo wa mtoto wa mwenzio.Mtu kama.hapendi shida si anatakiwa yeye awe wa kwanza kujitengenezea mazingira ya kuishi kwa raha kwa maana ya kujipambania maisha yake
 
Kupenda pesa sio umalaya bali ni kuelewa kuwa pesa ina umuhimu maishani. Pesa sio kinogesho cha mapenzi, bali ni kitu kinachotakiwa kiwepo sio tu kwenye mapenzi, hata kwenye maisha. Tukubali tu ukweli hata kama ukweli huo unakutia hasira kiasi ganiπŸ˜€πŸ˜€. Personally siwezi kuvutiwa kimapenzi na mwanaume asiye na pesa. Navutiwa kimapenzi na mwenye pesa..kama wengine wanavovutiwa na six packs, vifua, ndevu, sura nzuri n.k mimi navutiwa na pesa. Kwa hiyo mtu kuvutiwa na pesa sio umalaya ni kupenda tu pesa kama wengine wanavopenda hizo six packs n.k. Ni issue tu ya kuelewa kuwa binadamu wapo tofauti na wanavutiwa na vitu tofauti. ILA PESA TAMU AISEE...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜›πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji706]

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…