Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Mwanaume akipata Pesa anawaza Family yake ila Mwanamke akipata Pesa anawaza Sasa anaweza kuwa Single.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Ungeandika kwa uwazi zaidi, ungesema Mwanamke akipata Pesa anawaza sasa anaweza kuwa single ili afanye umalaya wale kwa uhuru. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi ni story za kjifariji. Ila ukweli ni kwamba kwa sasa hali ni mbaya watoto wa kike hawajitambui kama wanawake kwenye jamii. Wanatumia title "WANAWAKE" ili tu kupata maslahi ya mwanamke ila spiritually si wanawake by traits /character.

Sasa wewe unakuja kujisifu umeoa au unaishi na single mother, hivi wewe ni mzima kweli?

Yaani mtu ameshapigwa upumbu na akaona haitoshi akapewa na mimba kabisa then wewe unakuja chukua unaweka ndani unaita mke wangu , huyo ni mke wako au ni mke wenu wewe na majamaa waliomt*mba awali yako?!

Ifike muda haya mawazo ya kivulana muwe mnakaa nayo tu msiyalete kwenye mjadala ya kiumeni humu ambapo tunajadili misingi ya mwanaume kitabia.
 
".......mnacontribute kipato equally........", hawazidi watatu ktk 1000 ndio wanaofanya hivyo na ktk hao watatu wawili,huwaga wanakumbushia hela wanazotoa kipindi akigombana na mwenza wake.
Kama tutacontribute kipato
Basi hata kazi nyingine tutasaidiana hivyohivyo.
 
Usije ukamthamini mwanamke hata siku moja, ishi naye mguu mmoja nje.

Unaweza kumhudumia miaka 10 ukaja kufanya kosa moja kubwa akakacha, hawakumbuki fadhila
Kiumbe anaye ishi kqa kutegemea hisia ni kiumbe dhaifu kupita maelezo maana anategemea hisia kufanya maamuzi.

Hisia ni kama Moshi huwa zinakuja kwa nguvu na kupotea kwa kasi kubwa. Ni ujinga kuamini akili ya mtu anayetegemea hisia kufanya maamuzi.
 
Na yeye ameyataka imekuwaje anamuamini mwanamke kiasi hicho?
 
Kama tutacontribute kipato
Basi hata kazi nyingine tutasaidiana hivyohivyo.
Wangapi mnaocontribute......?

Nature ya mwanamke ni mbinafsi mpo hivyo najua mtakataa na ukiona mwanaume anaishi vizuri na mke wake ambaye anafanya kazi, jua kabisa hana time na hela ya mkewe na ndio maana nyumba ina amani.

Hela ya mwanamke inaambatana na manyanyaso,kashfa na mwanaume akifanya masihala kunasiku atatukanwa mbele ya kadamnasi ya watu kisa hela ya mwanamke. Hela yenu haijawahi kuwa tamu na haitokuja kuwa tamu kwa mwanamme.
 
Ukweli mtupu. Hela yao wala sio tamu.
Nashangaa wanajihangaisha maofisi bure bure tuu baadala ya kukaa nyumbani tuwagege na walee watoto
 
Nadhani hili unalolisema wanaume tumeshalijaribu mara kadha wa kadha yaani hadi tumefika hatua tumekatia tamaa tumeona isiwe shida tena.

Wanaume wanajitahidi sana kujaribu kuwajenga wanawake kimaadili ila ni wanawake ndio ambao hawapo tayari kubadilika na hizi fujo zinazoendelea ni matokeo ya maamuzi binafsi ya wanawake kujiamulia kuishi kiholela nje ya maadili na wakiambiwa hawasikilizi wala hawataki kuelewa.

Hebu jiulize, kuna topic ngapi zinazohusu masingle mother, udangaji,umalaya,uchepukaji na kadhalika hapa JF hiyo yote ni jitihada ya kukemea upotofu wa maadili inayofanywa na wanaume kuwasaidia mabinti ambao hawajaharibika kuingia kundi hilo la walioharibika.

Nje ya kufanya jitihada zote hizi lakini bado wanawake si wasikivu na cha zaidi huwa wanakuja kutetea ujinga kama sio kusapoti mambo ya kipumbavu ya wanawake wenzao.

So tumefikia hatua tumeona ngoja tusiwafundishe ili mbakie na ujuaji wenu mpambane na mother nature na shangazi Karma.
 
Kiumbe anaye ishi kqa kutegemea hisia ni kiumbe dhaifu kupita maelezo maana anategemea hisia kufanya maamuzi.

Hisia ni kama Moshi huwa zinakuja kwa nguvu na kupotea kwa kasi kubwa. Ni ujinga kuamini akili ya mtu anayetegemea hisia kufanya maamuzi.
Ndo tulivyoumbwa, tunajifunza baada ya kuanguka
 
Ongeza single mothers mwingine umpandishe cheo mama Neema maana huku mtaani camping yetu inaendelea

KATAA NDOA

NDOA NI UTAPELI

NDOA NI KITEGA UCHUMI KWA MWANAMKE
 
Wa namna hii hata sipotezi muda namuachia kama kaa la moto.
 
Toxic males ni zao la Toxic single mothers wenye mentality za mafeminists.
 
Wengi tu tunacontribute
Japo si equally,kwa sababu ya tofauti zetu kimapato
Lakini hata tukiongoza kimapato tutacontribute zaidi

Ila pia lazima na mwanaume achangie kwenye majukumu ya nyumbani,
Hata kama si sawa kwa sawa,
Mchango wake uonekane.

Mwanaume anayekaa kama mlemavu asiyeweza kufanya kazi hapana kwa kweli.
 
Tatizo maisha yamebadilika. Miaka ya nyuma kazi zinasubiria wanaume waanze kujitegemea wakaajiriwe na kuanza majukumu na kupata kipato walee familia.

Ila kwa sasa hali ni tofauti, kizazi cha wanawake wenye kiherehere wanataka kufanya kila kitu mwanaume anafanya sasa hapo ndipo wanaume tunakaa pembeni ili tuone sasa viherehere vitawapeleka wapi.

Kwa mfano mdogo mwanaume mkute mkeo nyumbani halafu anza kumuingilia majukumu yake, mara chota maji, pika, bembeleza mtoto, muogeshe mtoto, na mengineyo utaona namna atavyokereka na kukususia kila kitu.

So hii wanawake kuanza kulazimisha kuingilia majukumu ndio imezaa wanaume wanaosusia majukumu yao maana wanaona tunakutana na wanawake wajuaji kupita maelezo.
 
Kuna kipindi nilikuwa kama wewe. Natetea nisichokijua nikidhani nasaidia kumbe hakuna ninalojua hata chembe.

Unahitaji kuwaelewa wanawake vizuri ili kuwajadili au kuwaelezea. Kwa namna umeongea inaelekea wanawake hauwafahamu hata kidogo yaani kwa maneno mengine unahisi sisi hapa tunawalaumu na kuwangizia na kila tunalolisema ni kuwaonea na hatutakiwi kuwasema bali kuwaelekeza.

Mwanamke unaweza kaa nae chini na kumuelekeza A to Z juu ya namna bora ya kuheshimu mahusiano na kuishi katika Ndoa tena ukarudia kila siku. Ila akatokea mzinifu m'moja akampa faida moja tu ya kudanga na akasahau mazuri yote uliyomfundisha akafuata upumbavu na akapotea. Then akisha haribu anakurudia akiomba msamaha na kuomba umsikilize.
 
Mkuu huyo amepigwa za uso, ndiyo hao hao uzi unaowagusa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…