Vijana mnateseka sana na ndoa. Mnaoa vitoto bikira havina hata akili ya kuwahi kuamka vifanye usafi wa chumba mlicholala. Vinawaza tu kuchati na kwenda kula migahawani.
Tuliooa ma single mother tuna raha zetu. Kabla hujaamka utasikia,, vipi baba neema mbona leo unalala sana, au unaumwa! Maji yanapoa bafuni.
Hapo alishamaliza kudeki na kuosha vyombo, chai iko mezani na nguo ya kuvaa alishakuandalia.
Tatizo siyo mwanamke, tatizo ni aina ya mwanamke uliyemwoa. Mnaagalia wenye misambwanda mikubwa na sura laini. Kumbe kuna watu wanatunza. Akija kwako mnaanza kushindana.
Zingatia uchaguzi sahihi wa mwanamke ili uwe na amani katika ndoa.