Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Anayekupikia, kukufanyia usafi wako binafsi na nyumba yako, kukulelea watoto, kukulindia nyumba vyote hvyo hujaona....
Wanaokuja na hoja hizo wana element za ushoga na hivyo kuona mwanamke anafaidi. Kwamba alikuja kama alivyo anaondoka na 50%
Kuna wanawake hawafanyi hayo, usikariri nyumba hazifanani aisee kuna wanawake hawaishi maisha hayo kabisa ni wa kuendeshwa na gari kupelekwa na kurudishwa kazi zote zafanywa na dada wa kazi, amka uko usingizini
 
Hii micharuko tuliyonayo ni mipigaji tu, kazini anaiba na nyumbani anakufanyia deals
 
Kuna wanawake hawafanyi hayo, usikariri nyumba hazifanani aisee kuna wanawake hawaishi maisha hayo kabisa ni wa kuendeshwa na gari kupelekwa na kurudishwa kazi zote zafanywa na dada wa kazi, amka uko usingizini
Wala siko usingizini
Wapo pia wanaowajibika
Binafsi hata kama dada yupo lazima niwajibike kwakuwa nimekua nikiona tunagawiwa majukumu bila kutofautishwa na dada wa kazi
 
Anayekupikia, kukufanyia usafi wako binafsi na nyumba yako, kukulelea watoto, kukulindia nyumba vyote hvyo hujaona....
Wanaokuja na hoja hizo wana element za ushoga na hivyo kuona mwanamke anafaidi. Kwamba alikuja kama alivyo anaondoka na 50%
Wawanawake wanaotekeleza majukumu ya mke siku hizi ni wachache sana, wengi wao siku hizi hayo majukumu yote ni wa dada wa kazi. Alafu kwanini siku hizi mnakuwa na mind na nguzu ya kuandika na kutaja taja usho**? Mie hata neno hilo kuanidka napata ukakasi au kumtuhumu mtu au jamii ila wengine imekuwa kama wimbo wa taifa
 
Kwamba nimepania, asubuhi yote hivyo, usingizi ulikata nikawa najitafakarisha
Huo Ni uoga tu wa majukumu!we alfajiri badala utafakari unapataje pesa unaanza tafakari kwa Nini mama chanja hatoi hela za matumizi humo ndani!au ulinyimwa Cha asubuhi?
 
Hahahahah wanaona raha kuita vidume mashox
 
Huo Ni uoga tu wa majukumu!we alfajiri badala utafakari unapataje pesa unaanza tafakari kwa Nini mama chanja hatoi hela za matumizi humo ndani!au ulinyimwa Cha asubuhi?
Cha asubuhi pack πŸ˜€ kimeleta tafrani
 
Wewe ulipooa au ulipobalehe baba yako alikufundisha nini kuhusu kuitwa mume ?? Kuwa mume maana yake ni zaidi ya kuwa na jinsi ya kiume. Kwa nini mnapinga uanaume wenu?? Kwanini mnataka kuwa lege lege kuanza kulia lia eti wanawake wanawaachia majukumu ambayo kwayo ndio yanatimiza uanaume wenu?? Ukielewa hili basi mada itafungwa.
 
Sasa wewe umechukua samaki wa mapambo ukidhani Ni mboga unatarajia Nini?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Noma sana yani, alijua samaki wa acqarium anaweza kuwa na ladha ya kibua?
 
Siku hizi wadada wa kazi wanawasaidia kazi zote mpaka za kitandani. Mimba ata ng'ombe anabeba
Ndio maana Tunasema wanaume wa siku hizi Ni bure kabisa,Kama mnawalala mpaka wa dada wa kazi Sasa mnataka tuchangie Nini tena, kwenye ujenzi wa familia,we pambana ulete kitu mezani maana wewe Ni kidume!Mimba hata ng'ombe anabeba au sio??haumthamini mwanamke unatarajia wewe ndo akuthamini?
 
Hahahahahah unakuwa muhanga if you let shit in your life. Wengi tunaingia kwenye mahusiano bila kutanabaisha principles zetu mapema.

Wewe ndio amiri jeshi wa maisha yako, don't invite promiscous and selfish women in your lives. Lay down principles ambaye atafeli kumeet vigezo let go. You have to do this multiple times untill you get a person who matches with your puzzle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…