Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Aminia!Hahahah hainaga kufeli ๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aminia!Hahahah hainaga kufeli ๐๐๐
๐๐๐๐Hatari Sana,Ni mambo ya kubang tu๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMuache mwenzio...nenda nae taratibuu
Njoo uoe kwetu. Huku wanaume wanatunzwa na mali za wake zaoHakika, watu wamechoka, ni upuuzi kukaa na li jitu linakipato na hicho kipato haukioni. Kwanini tuendelee kukaa kwenye set up ya kipumbavu kama hiyo?
Niko timamu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMaana umevurugwa
Kuna kitu kiko mahala hamjakinotice ingawa kinajulikana. Tukirudi Mwanzoni kabisa Baada ya Anguko la Mwanadamu pale Edeni. Mungu aliyewaumba alipoanza kutoa uamuzi akamwambia wewe mwanamke" nitazidisha uchungu wako wa kuzaa, ( hilo limeanza kufutwa, pia Tamaa ya Mwanamke itakuwa juu ya mwanaume na yeye mwanaume atamtawala)issue siyo kutoa ni kuwa responsible, mbona kwenye vicoba mnatoa? Hizo hela zenu izna pile up tu bank au mnatumia? Sasa kwanini usitumie na familia, huo ni ubinafsi
Unatuingizia jambo jipyaNiko poa mamii, nataka mutumie akili zenu kuanzia asubuhi mpaka jioni
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMitoto yenyewe ya mama mkwe shukrani zero...wanataka tuwaogeshe,tuwafulie,tuwapikie,tuwakatie,na bado TUKAWATAFUTIE MAISHA ๐๐๐๐๐๐tuchat tu shogaaangu๐๐๐๐
Hatuna stress
Kama mda huu ningekuwa busy kweli naogesha mtoto wa ma mkwe na kumlisha chai ila sasa nimejilalia zangu nimeangalia juu ya neti nachat kwa raha zangu
Tunaambiwa tutumie yetu kwasababu wao hawanaSasa unasisitiza kuishi na wanawake kwa akili kwanini?
1. Kwakua anaakili sana?
2.Kwakua anaakili kisoda?
Naomba kujua kwanza hapo ndio nitaendelea
Too bad jamaa alitumika, ila hii situation hamna ambaye haijawahi mkuta even myself. Tumepitia changamoto just to get to where we are. Theres a point unakuwa na soft feelings juu ya wanawake but kuna suprises ukipigwa nazo zinakujenga not to repeat being fooled anymore.Yupo rafiki yangu alikuwa na gf wake toka 2014, icho kipindi huyo dada alikuwa anasoma,
Wameenda, huyo dada kamaliza chuo maswala ya afya bahati mbaya kakutana na upepo wa kukosa ajira sasa ikabidi jamaa ampambanie apate kibarua private
Hapo wanaishi kwa msela, msela anamlea kama mtoto wake vile.
Baada ya kupata kazi akamchana msela kuwa hajawahi kumsaidia chochote na akamtema.
Hivyo ndivyo wanawake walivyo.
Woiiiiiiiih๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMitoto yenyewe ya mama mkwe shukrani zero...wanataka tuwaogeshe,tuwafulie,tuwapikie,tuwakatie,na bado TUKAWATAFUTIE MAISHA ๐๐๐๐๐๐tuchat tu shogaaangu
Sasa hawataki kusikia hivyoTunaambiwa tutumie yetu kwasababu wao hawana
Haaaahaaa hao wanawake wa kufulia na kupikia waume zao chakula, wako wapi siku hizi..Sahivi ukiwa na girlfriend Na akakupikia msosi shukuru Mungu JoannahMwanamke ana vitu vingi vya kufanya kuliko mwanaume, mwanamke AMEELEMEWA na majukumu....Imagine abebe mimba,anyonyeshe mchana na usiku,afue nguo zako na za watoto wako,apike chakula,usafi wa kaya,jamani nyie watu hebu kuweni na utu..... watu mnafuliwa Hadi boxer lakin bado tu mnaona mwanamke so kitu?
Wanajipodoa,wanataka kulipiwa Kodi,wanataka wanawake tuwape pocket money unadhani kwa Nini wasipinduliwe kwenye nafasi zao?Kuna kitu kiko mahala hamjakinotice ingawa kinajulikana. Tukirudi Mwanzoni kabisa Baada ya Anguko la Mwanadamu pale Edeni. Mungu aliyewaumba alipoanza kutoa uamuzi akamwambia wewe mwanamke" nitazidisha uchungu wako wa kuzaa, ( hilo limeanza kufutwa, pia Tamaa ya Mwanamke itakuwa juu ya mwanaume na yeye mwanaume atamtawala)
hapa ndio wapinduaji wakapindua kabisaaa. Kwamba tamaa ya mwanaume iwe kwa mwanamke kisha saa hii tunaelekea part 2 nae atamtawala huyo mwanaume. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]
Kwanini usumbue kichwa chako? Ilitakiwa kwa Amri ya Muumba kwamba mwanamke awe na tamaa kwako kuliko fisi. Lakin vijana haswa wa kuanzia 90s wameoshwa bongo kwamba wao wanastahili kumsifia huyo mwanamke, kumtamani sana, na kutumia gharama yoyote. Hapo ndio mistake.
But the huge fault is still to come and appear. [emoji4]
Kama kucha ni ndefu kama za vampire na ulifwata tako atapikaje jamaniiHaaaahaaa hao wanawake wa kufulia na kupikia waume zao chakula, wako wapi siku hizi..Sahivi ukiwa na girlfriend Na akakupikia msosi shukuru Mungu Joannah
Sisi kama kina Junior ndio tumekuwa wakubwa sasa ๐ kwani mmesahau kuwa kina Junior tuliishije utotoni?๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMitoto yenyewe ya mama mkwe shukrani zero...wanataka tuwaogeshe,tuwafulie,tuwapikie,tuwakatie,na bado TUKAWATAFUTIE MAISHA ๐๐๐๐๐๐tuchat tu shogaaangu
Naunga mkono hoja kwa 100%Wasalaam wana JF
Katika pitapita zangu za kimaisha jambo kubwa ambalo nimelishuhudia, nimesimuliwa na kupata uzoefu kutoka kwenye forum mbali mbli pamoja na JF, ni kwamba wanawake wengi ni wabinafsi na wachoyo.
Tabia hizi mbaya za wanawake zimesababisha mahusiano mengi yamekufa, familia nyingi zimefarakana na ndoa nyingi zimevunjika. Mambo hayo yote hayakuwahi kumuacha mwanaume salama.
Aidha, vijana wengi, kwa kutambua hilo hawataki kuoa na kampeni ni nyingi hivi sasa za kuhamasisha watu KUKATAA NDOA.
Ata mimi na subscribe kwenye mawazo sahihi kwamba ndoa ni utapeli na pengine ni ajira au chanzo cha mapato kwa wanawake wengi ambao ni wabinafsi na wachoyo.
Kwanini sasa hawa akina mama wanakua wabinafsi na wachoyo:
1. Kubwa ni umasikini na fikra za kimasikini
mwanamke aliyetoka kwenye familia masikini anadhani mume ndiyo suluhisho la matatizo yake na familia yake. Imagine baba yake hakumudu mambo mengi, lakini akija kwako atataka wewe ufanye mambo ambayo ata baba yake hakuweza;
2. Dhana potofu kwamba mwanaume ndiye sole braid winner
Hii ni dhana iliyojengeka kutokana na nadharia potofu kwamba mwanaume ndiye anayepaswa kulisha na kutunza familia. Kimsingi, mila na tamaduni zetu hazi support hii hypothesis. Babu zetu walioa wake wengi na sehemu kubwa ya uzalishaji wa mali ulifanywa na wanawake, wao ndiyo waliokua wanalima mashamba na kutunza mifugo. Hivyo uzalishaji mali ulikua shirikishi hali kadhalika utumiaji wake
Hali kadhalika vitabu vya dini pia havitambui hili rejea .Mithali 31:10-31 ambapo mke mwema ameelezewa kwa kirefu.Pengine, hii dhana ililetwa na wakoloni kutubabaisha na kutuondolea misingi yetu thabiti ya familia, kwani huko kwao mwendo ni 50/50.
3. Ushawishi hasi kutoka kwenye makundi potofu
Wanawake wengi hawana akili independent, wanategemea mawazo kutoka kwa wenzao. Ni ukweli usiopingika kwamba adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake, sasa utakuta sehemu kubwa ya maisha ya wanawake yanaendeshwa kwa kutumia akili za wenzake. Fanya hivi fanya vile, bila kuchunguza madhara ya yale afanyayo. Hivyo basi, pesa za wanawake zinaingia kwenye VICOBA na mchango wao katika familia unakua mdogo huku akipambana kujilimbikizia mali pasipo mwenzi wake kujua au kushirikishwa.
4. Kutokua na mapenzi ya dhati na familia
Wanawake wengi siyo wa kweli (honest) wako kwenye mahusiano kwa sababu zingine na si mapenzi. Mwanamke anaweza kuolewa ata na shetani kwa sababu anaona umri wake wa kuolewa utapita, in short ni opportunists. Kuishi na mtu asiye kupenda ni changamoto kubwa sana, hakuna rangi utaacha ona. Kwa sababu hiyo basi, ushiriki wa wanawake kwenye kujenga hizo familia unakua ni mdogo, kwasababu hawajapenda, hutakaa uone mchango wao kwenye ujenzi wa hiyo familia na mwisho wake familia inasambaratika.
5. Unafki
Wanawake kiasili ni wanafki, na wataonesha uzuri kwa nje ila ndani ni mbwa mwitu. Siku zote wanawake wana nia ovu, kaa nao kwa magutu sana. Akipata opportune moment umekwisha.
6. Tamaa na ubabaikaji
Wanawake hawako stable, wana tamaa japo anaweza kuzi suppress, ila tamaa ndiyo asili yao.wanawake wanataka vitu vyote vizuri viwe vyao, ukiwa maarufu na successful utawatembezea vitombo mpaka ukinai. Pia ukiwa na muonekano mzuri nayo ni shida. So mwanaume unapaswa at least uwe stable financially ili uwe salama
7. Malezi mabaya
Wanawake wengi wamelelewa kipuuzi, hii pengine ni kutokana na mapokeo ya dini au tabia mbaya za wazazi. Kwamba aende tu kwa mume, mume ndiye atakaye muhudumia. Yaani hapa wazazi wanakusukumia zigo lao. Hii si sawa, hakuna mtu ambaye anatakiwa awe responsible na maisha ya mtu mwingine, lazima watu wafanye kazi, wazalishe na kuchangia kwenye ujenzi wa familia. Hizo myth kwamba mwanume ni sole bread winner are long gone. Kama wanawake hawatajiongeza kwenye hili, hakuna mvulana atakayeoa, mark my words
HITIMISHO
UBINAFSI NA UCHOYO SIYO TABIA NJEMA
HAKUNA MWANAUME ANAYEWEZA KUISHI NA KUDUMU NA MWANAMKE MCHOYO NA MBINAFSI
MAHUSIANO SIYO CHANZO CHA MAPATO
KILA MTU MZIMA ANA WAJIBU WA KUFANYA KAZI NA KUJIPATIA KIPATO CHAKE HALALI
UJENZI WA FAMILIA SIYO JUKUMU LA BABA PEKE YAKE, BALI NI WANAFAMILIA WOTE
MKIENDELEA KUWA WACHOYO NA WA BINAFSI, NDOA MTAZISIKIA NCHI JIRANI
Wapi nimepinga uanaume ?Wewe ulipooa au ulipobalehe baba yako alikufundisha nini kuhusu kuitwa mume ?? Kuwa mume maana yake ni zaidi ya kuwa na jinsi ya kiume. Kwa nini mnapinga uanaume wenu?? Kwanini mnataka kuwa lege lege kuanza kulia lia eti wanawake wanawaachia majukumu ambayo kwayo ndio yanatimiza uanaume wenu?? Ukielewa hili basi mada itafungwa.
Huu ni ukweli mtupu kabisa.Mwanaume akipata Pesa anawaza Family yake ila Mwanamke akipata Pesa anawaza Sasa anaweza kuwa Single.
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Eti Manula[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee una enjoy sana kumuweka Manula mjengoni! [emoji3] Unateleza masaa 24