1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Iko hivi Mungu alipoumba Mwanaume alimuumba Kwa amfano wake.
Mwanaume akawa Hana msaidizi Wala mtu wa kubishana nanye Kwa namna yoyote zaidi ya wanyama .
Mwanaume akawa kama Mungu wa Dunia Kwa kuwa juu ya viumbe vyote Duniani.
Mungu akamuumba Mwanamke mwenye ufanani mkubwa na shetani kiakili, maarifa,uzuri,tamaa, ubunifu wa urembo,mashauzi n.k.
Kwa hiyo tamaa ya Mwanamke ilianza pale alipodanganywa kuwa atafanana na Mungu akiwa tunda , alitamani kuwa juu ya Adam na kufanana na Mungu . Iliposhundikana akatamani kuwa kama mwanaume . Ndiyo vita iliyopo mpaka Leo ya Mwanamke kuwa sawa na mwanaume. Wanavaa mavazia ya wanaume ,masuruali , kujifanya maiasiri na wapambanaji kucha kutwa ili wawe na Mali zao wenyewe lakini wanaume wakiwa na Mali zao zinakua ni za wote Bali za Wanawake ni za kwao.
Adui mkubwa wa Mwanamke ni Mume wake. Yaani hata wakiwa mahali mume wake akisema kitu mtu wa kwanza kukiona hakifai ni mkewe. Wanaume wengi wanaishi maisha ya taabu na mashaka Kwa sababu ya kiumbe Mwanamke.
Mwanamke anaweza akatembea na mtu na marafiki zake hata Kumi na wasijuane. Mwanamke ana uwezo mkubwa wa kuamkia kwenye gesti na kuwahi ibada Kanisani huku akiwa anaimba Paise team na kuomba akiwa analia machozi watu wakajia kuwa ameokoka kamili kumbe analilia uzinzi wake.
Mwanamke anaweza akatoa mimba ya miezi SITA lakini baadae akakesho Kwa mganga na Nabii akitafuta mtoto Tena.
Adam alijisikia upweke mpaka akapewa msaidizi lakini Eva alikua anapata muda wa kuzurura na kwenda Kupiga stori na Nyoka Kwa maana kwamba hakuridhika na Adamu. Kwa muda mfupi Eva alikua amemchoka Adam na kumuona kama mshamba anayependa kuwa chini ya Mungu muda wote badala ya kuwa sawa na Mungu Kwa kuwa na Maarifa zaidi.
Mungu aliumba vitu viwili viwili Kwa maana ya kukinzana lakini kukamilisha mipango yake mwenyeweml:
Giza na Nuru
Mrefu na mfupi,
Mnene na mwembamba
Chanya na hasi.
Maji chumvi na maji mazuri.
Joto na Baridi.
MTU Mweusi na BROWN /MWEUPE
Mwanamke na Mwanaume.
Haviwezi kufanana kamwe japo vipo katika uwepo wa pamoja tangu awali.
Mwanamke kamwe hatofanana na mwanaume japo wapo katika uwepo wa pamoja . Ukinzani wao hautaisha katika mazingira ya kibinadamu.
Wapotoshaji wamelazimisha Mwanamke kufanana na kulingana na mwanaume bila SHERIA ya kutofautisha tofauti zao na haki zao za utafauti wao . Hapa ndipo walipondoa hekima ya uumbaji.
Shetani alifukuzwa Mbinguni Kwa kukosa utii sio Kwa sababu ya tabia zake za asili Bali kiburi na kutaka kuwa juu ya vyote kama Mungu.
Hali kadhalika Wanawake wengi wanavunja ndoa zao Kwa kukosa utiifu na kuwa na kiburi Kwa kujiona kuwa wanaweza kuwa juu ya familia na kuongoza familia kama Mwanaume.
Anguko la Mwanamke haliko Mbali mana siku zinakuja ambapo Wanawake 8 watataka kutajwa TU Kwa Jina la mwanaume mmoja huku wakiwa wanajitegemea na hata hivyo haitawezekana.