Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Iko hivi Mungu alipoumba Mwanaume alimuumba Kwa amfano wake.
Mwanaume akawa Hana msaidizi Wala mtu wa kubishana nanye Kwa namna yoyote zaidi ya wanyama .

Mwanaume akawa kama Mungu wa Dunia Kwa kuwa juu ya viumbe vyote Duniani.
Mungu akamuumba Mwanamke mwenye ufanani mkubwa na shetani kiakili, maarifa,uzuri,tamaa, ubunifu wa urembo,mashauzi n.k.

Kwa hiyo tamaa ya Mwanamke ilianza pale alipodanganywa kuwa atafanana na Mungu akiwa tunda , alitamani kuwa juu ya Adam na kufanana na Mungu . Iliposhundikana akatamani kuwa kama mwanaume . Ndiyo vita iliyopo mpaka Leo ya Mwanamke kuwa sawa na mwanaume. Wanavaa mavazia ya wanaume ,masuruali , kujifanya maiasiri na wapambanaji kucha kutwa ili wawe na Mali zao wenyewe lakini wanaume wakiwa na Mali zao zinakua ni za wote Bali za Wanawake ni za kwao.

Adui mkubwa wa Mwanamke ni Mume wake. Yaani hata wakiwa mahali mume wake akisema kitu mtu wa kwanza kukiona hakifai ni mkewe. Wanaume wengi wanaishi maisha ya taabu na mashaka Kwa sababu ya kiumbe Mwanamke.

Mwanamke anaweza akatembea na mtu na marafiki zake hata Kumi na wasijuane. Mwanamke ana uwezo mkubwa wa kuamkia kwenye gesti na kuwahi ibada Kanisani huku akiwa anaimba Paise team na kuomba akiwa analia machozi watu wakajia kuwa ameokoka kamili kumbe analilia uzinzi wake.
Mwanamke anaweza akatoa mimba ya miezi SITA lakini baadae akakesho Kwa mganga na Nabii akitafuta mtoto Tena.

Adam alijisikia upweke mpaka akapewa msaidizi lakini Eva alikua anapata muda wa kuzurura na kwenda Kupiga stori na Nyoka Kwa maana kwamba hakuridhika na Adamu. Kwa muda mfupi Eva alikua amemchoka Adam na kumuona kama mshamba anayependa kuwa chini ya Mungu muda wote badala ya kuwa sawa na Mungu Kwa kuwa na Maarifa zaidi.

Mungu aliumba vitu viwili viwili Kwa maana ya kukinzana lakini kukamilisha mipango yake mwenyeweml:

Giza na Nuru
Mrefu na mfupi,
Mnene na mwembamba
Chanya na hasi.
Maji chumvi na maji mazuri.
Joto na Baridi.
MTU Mweusi na BROWN /MWEUPE
Mwanamke na Mwanaume.

Haviwezi kufanana kamwe japo vipo katika uwepo wa pamoja tangu awali.

Mwanamke kamwe hatofanana na mwanaume japo wapo katika uwepo wa pamoja . Ukinzani wao hautaisha katika mazingira ya kibinadamu.
Wapotoshaji wamelazimisha Mwanamke kufanana na kulingana na mwanaume bila SHERIA ya kutofautisha tofauti zao na haki zao za utafauti wao . Hapa ndipo walipondoa hekima ya uumbaji.

Shetani alifukuzwa Mbinguni Kwa kukosa utii sio Kwa sababu ya tabia zake za asili Bali kiburi na kutaka kuwa juu ya vyote kama Mungu.
Hali kadhalika Wanawake wengi wanavunja ndoa zao Kwa kukosa utiifu na kuwa na kiburi Kwa kujiona kuwa wanaweza kuwa juu ya familia na kuongoza familia kama Mwanaume.

Anguko la Mwanamke haliko Mbali mana siku zinakuja ambapo Wanawake 8 watataka kutajwa TU Kwa Jina la mwanaume mmoja huku wakiwa wanajitegemea na hata hivyo haitawezekana.
 
Rudia kusoma nilichoandika.. nimeandika our married friends & sisters.

Hayo ya singo moms ni yako.
Ata Single mothers mwanzo walikua wameolewa au kwenye mahusiano
 
Mkuu, hii ni very insightful information, yaani ni nondo tupu. Thanks for sharing.
 
Hata source kubwa ya ma single mother ni tabia ya vijana kuonja na kukataa mimba. Hawajakujipa mimba hawa.

Unaenda kwa dada na viapo vingi vya kumsadikisha unampenda. Ukipewa uvungu tu, unapotea. Hasa ukisikia ana mimba.

Leo kijana huyohuyo anataka kuoa bikira. Uliowabikiri na kuwazalisha unamwachia nani?
 
Tumieni natural family plan methods zikishindikana use condoms
 
Ukipenda oa single mother. Lakini ujumbe wangu hapa ni kuwa oa mwanamke mwenye akili. Usioe pungasese linalotafuta uchumi kwako akatajirishe kwao. Oa mwanamke anayekujali hata kama huna.

Oa mwanamke ambaye wazazi na nduguzo atawaelewa hasa wakati wa shida. Siyo mamako amelazwa anasema nywele zimefumka nipe hela nikasuke.

Oa mwanamke ambaye siku mkikosa msosi ndani hatapiga simu au kwenda kwao na kwa mashosti kukutangaza. Badala yake atakwambia mume wangu, akiba yangu hii hapa tutatue tatizo.

Acheni kuangalia uzuri wa maumbo na ukubwa wa makalio tu. Kuna siku yatapungua hayo.

Sasa hao mabikira wenye akili kama hizi ni wachache kwa kuwa umri wao ni mdogo na hawajakumbana na changamoto za maisha.

Oeni wenye umri angalau anaweza kujitambua na kujisimamia. Humo wamo na masingle mother mnaowadharau kila uchao.

Na ninyi vidume msipende kujionesha mna uwezo kiuchumi mnawatafuta wenza. Onesheni uhalisia wa maisha yenu ili wenye tamaa wawakatae na wenye nia wawakubali.

Ndoa ya mke na mume na iheshimiwe na kila mtu.
Hamna kitu mie siwezi kuoa mwanake asie na tako wala sura eti kisa anajitambua. 🤣🤣🤣🤣 Mie nikioa sitaki kucheat so bora nioe mwenye trakooz na suraa.

Hao single maza options zimeisha ndio maana inabidi wawe wapole sasa mtu wa hivyo mie sitaki. Nataka yule mwenye options kibao lakini anaamua kutulizana.

Hao wenye umri nao breki pumbuz nani anataka kuoa damaged goods. Mwanamke anayefaa kuolewa ni yule bikra tuu other than that unaoa kwa kuwa unashindwa kutthibiti genye tuu.
 
Yupo rafiki yangu alikuwa na gf wake toka 2014, icho kipindi huyo dada alikuwa anasoma,

Wameenda, huyo dada kamaliza chuo maswala ya afya bahati mbaya kakutana na upepo wa kukosa ajira sasa ikabidi jamaa ampambanie apate kibarua private

Hapo wanaishi kwa msela, msela anamlea kama mtoto wake vile.

Baada ya kupata kazi akamchana msela kuwa hajawahi kumsaidia chochote na akamtema.

Hivyo ndivyo wanawake walivyo.
Mijanaume mingine mijinga ya kutupwa 🤣🤣🤣🤣
 
Hamna kitu mie siwezi kuoa mwanake asie na tako wala sura eti kisa anajitambua. 🤣🤣🤣🤣 Mie nikioa sitaki kucheat so bora nioe mwenye trakooz na suraa.

Hao single maza options zimeisha ndio maana inabidi wawe wapole sasa mtu wa hivyo mie sitaki. Nataka yule mwenye options kibao lakini anaamua kutulizana.

Hao wenye umri nao breki pumbuz nani anataka kuoa damaged goods. Mwanamke anayefaa kuolewa ni yule bikra tuu other than that unaoa kwa kuwa unashindwa kutthibiti genye tuu.
Nyege ni ugonjwa wa ulimwengu, kuna wakati mpaka malaika waliwalala watoto wa binadamu
 
Hizi sasa story za kijiweni malaika wageggede binadamu kwani wamekosa malaika wenzao wakuwageggeda
True story, kuna giants walikuwepo kabla ya nabii rutu, ni product ya binadamu na malaika (waasi) google that
 
Ok...kumbe malaika nao walitamani vya duniani🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa hizi somjo za wanadamu kwenda mbinguni zinatokea wapi
 
uko mbinguni si tutapewa bikira 7, so bado tuko vizuri
 
Na bado atataka kazi za nyumbani afanye zote mwanamke kama kawaida.
Utakaposema tusaidiane, atasema hizo ni kazi za mwanamke wakati wote mmerudi mmechoka, wote mnacontribute kipato equally , ila majukumu ya nyumbani Kufua, kupika, watoto nk yote ni ya mama.
".......mnacontribute kipato equally........", hawazidi watatu ktk 1000 ndio wanaofanya hivyo na ktk hao watatu wawili,huwaga wanakumbushia hela wanazotoa kipindi akigombana na mwenza wake.
 
Usikariri mkuu wameachwa akina Bill Gates na Jeff Bezzo itakua wewe, omba Mungu yasikutokee
Theories kuhusu wanawake ni nyingi sana mkuu, na hakuna hata anayejua njia ipi ni sahihi kabisa, achilia mbali human factors za kutosha...Mkuu tutaendelea kubahatisha bahatisha mpaka mwisho wetu wa maisha...Ndo wameishaumbwa hivyo....
 
It takes a woman and a half to have man's attitude.

Kuna vitu ukivipinga kutoka kwa mwanamke ni kupingana na asili ya mwanamke.

Muishi nasi kwa akilii repeat ishi na mwanamke kwa akili.
Comment kama hizi ndizo huwa zinatoa majibu kuwa kwenye jamii kuna tatizo la wanawake wasio kuwa na hekima.

Ukiona mtu anakuletea mjadala mezani na anaongelea kwa ujumla then its better ukatazama kwa jicho la tatu na kichagua kujifunza badala ya kuleta hoja kinzani au kubishana kwa maana mtu mbishi huwa mara nyingi anakosa fursa za kujifunza sababu ya kuamini yeye yupo sahihi kuliko upande wa pili.

Sasa kama wewe hapa ni wazi kwa hii kauli yako unadai wanaume ndio tatizo sababu wanashindwa kuishi na wanawake kwa akili. Sasa nikuulize ina maana mamilioni ya wanaume wa hii dunia kwa wingi wao wanavyolalamikia wanawake ina maana wote hawa hawana akili ya kuishi na mwanamke yaani ghafla tu tokea kizazi hiki cha wanawake kilichozaliwa miaka ya 80 mwishoni kuwa changamoto imekuwa ni kwasababu wanaume hawawezi kuishi nao kwa akili?

Hebu tumia fursa hii kutuelimisha, kwa hoja hata tano, ni aina gani ya akili inayotumika ili kuishi na mwanamke?

Akili ambayo tunatakiwa kuwa nayo sisi wanaume ila sisi wenyewe hatuijui ila ninyi wanawake ndio mnaifahamu vema hebu tuelimishe tupate kufahamu.
 
Dah mwamba umetema nondo za maana. Kwa elimu hii watoto wa kiume watapunguza ubwege na kuanza kujielewa na kuwa serious na maisha.
 
Back
Top Bottom