Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kuna mwanangu mmoja (RIP) alikuwa ameoa, but yupo Dada alikuwa wanaitana kaka na dada kumbe wamekua wote huko Boma Ngo'mbe sasa ile kaka na dada kaka na dada, ikatokea wakatengana na mkewe ehee hamadi yule aliyekuwa anamwita dada ndo akaja kushika uskani kama mama mwenye nyumba....kumbe walikuwa wanakulana siku mingi hawa kaka na dada!Samahani kwa mliiooa wanawake wa kichaga. Uzoefu wa wengi ni kwamba wanachukuana wao kwa wao. Kila anayekuja ni kaka wakati ni washikaji hata wengine wana ukoo wa damu kama mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo au mkubwa. Je hii ni mila au?
Hiyo ipo sana kwa watu wenye tabia za kishenzi.Kuna mwanangu mmoja (RIP) alikuwa ameoa, but yupo Dada alikuwa wanaitana kaka na dada kumbe wamekua wote huko Boma Ngo'mbe sasa ile kaka na dada kaka na dada, ikatokea wakatengana na mkewe ehee hamadi yule aliyekuwa anamwita dada ndo akaja kushika uskani kama mama mwenye nyumba....kumbe walikuwa wanakulana siku mingi hawa kaka na dada!
Punguza hasira mkuu.MODS sio kila mada ni ya kuendekeza. Upuuzi kama huu ukiachwa, jf tutaamini sasa ni jalala tu, kila mwenye haja zake anatupa hapo. Zingatieni tafadhali
Hii nchi imeharibika mkuu sio jamii forum tu nenda x(Twitter) ni yale Yale tuMODS sio kila mada ni ya kuendekeza. Upuuzi kama huu ukiachwa, jf tutaamini sasa ni jalala tu, kila mwenye haja zake anatupa hapo. Zingatieni tafadhali