Kwanini Wanawake wa Kikristo hawajifunika Vichwa vyao? Au sio dalili ya heshima kwao?

Wakiristo wa jf wanaleta picha za wakiristo wenzao wa kiarabu ili kupotisha. Na hata kama waislam basi watakuwa wanaishi ktk nchi za kikiristo na wanafata mila za kikiristo. Nchi za kiislam hawa bakora mpaka wanakojoa damu, hawathubutu kuvaa hivyo
Dini ya uislamu imewafanya miislam kuwa minafiki. Liangalie hilo lidada lililovaa hijab si bora tu asingevaa. Anamuaibisha hadi mume wake eti kibamia. Na wote tu wanaovaa hizo hijab ndo zao ni dini yao inawafanya kuwa minafiki uislamu ni unafiki na tamaduni za kiarabu.

Kuna mdada muislamu mke wa mtu na mgongaga tena bure tu hadi rinda na kamwe hadharani bila hijab lakini nguruwe hali na ni swala tano nabaki kushangaa.

Msikize dakika ya 11:35-55 anasema I cant go out without the hijab. Uislam bana

Video ni ya Malasyia 98% waislam

NAJIVUNIA MIMI SIYO MWISLAMU.
Your browser is not able to display this video.

hydroxo Extrovert Covax Chaliifrancisco makwega7 Natafuta Ajira

Nyau de adriz
 
Wakiristo wa jf wanaleta picha za wakiristo wenzao wa kiarabu ili kupotisha. Na hata kama waislam basi watakuwa wanaishi ktk nchi za kikiristo na wanafata mila za kikiristo. Nchi za kiislam hawa bakora mpaka wanakojoa damu, hawathubutu kuvaa hivyo
Nimekutag kwenye video huko mbona kimya?
 
Kwa hiyo hata kipilipili ukiona unatamani..
 
B
Nimekutag kwenye video huko mbona kimya?
Nimekutag kwenye video huko mbona kimya?
Wizi:

"Na mwizi mwanamume na mwizi mwanamke, ikateni mikono yao, kuwa ni malipo kwa yale waliyoyachuma..." (Qur'an 5:38)

Uzini:

"Na wale wanawake wazinifu na wanaume wazinifu, mpigeni kila mmoja katika wao viboko mia moja..." (Qur'an 24:2)
NB: Adhabu hii inatekelezwa kwa masharti magumu, ikiwa kuna ushahidi wa wazi, kama mashahidi wanne waaminifu.
 
Hata afande Rama hali nguruwe ni Muislam safi kabisa
Wizi:

"Na mwizi mwanamume na mwizi mwanamke, ikateni mikono yao, kuwa ni malipo kwa yale waliyoyachuma..." (Qur'an 5:38)

Uzini:

"Na wale wanawake wazinifu na wanaume wazinifu, mpigeni kila mmoja katika wao viboko mia moja..." (Qur'an 24:2)
NB: Adhabu hii inatekelezwa kwa masharti magumu, ikiwa kuna ushahidi wa wazi, kama mashahidi wanne waaminifu.
 
"Wameamrishwa", maana yake hawapo huru.
Hakuna aliye huru kwenye jamii za dunia hii, ni mipaka tu ndo tunatofautiana. Mfano hapo nyumbani kwako/kwenu inawezekana mna uhuru wa kufunika kichwa au kukiacha wazi, vipi kuhusu uhuru wa kubaki na nguo ya ndani tu saa ya kula, upo? Kama haupo maana yake hampo huru kwa kiwango hicho ila kuna familia mama kubaki na nguo ya ndani akiwa na familia yake haizuiliwi.
 
Mwanamke akitembea kavaa chupi inakuathiri vipi?
Hisia zako kama za ng'ombe tuu, maana mnyama hata àone mnyama mwenzie uchi ni sawa tuu.
Ulishamwona mzazi wako kavaa chupi labda màma yako ulijisikiaje?
 
Uongo uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…