chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,884
Hawa ni wanawake wasomi wakiwakilisaha Zanzibar miaka ya 60,umejionea vipi wamevaa,nini kimetokea kwa wanawake wa kizanzibari kuanza kujivalisha mishungi,!!? ukimwanglia Makamo wa raisi Mh Suluhu na mawaziri wengine wa kike kutoka Zanzibar mavazi wanayovaa yanashangaza,...mdau nipe ufafanuzi