Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi unajua kuwa hao mashekhe ambao wew unaawadharau izo sheria hawajaziweka wao wanafuata mungozo wa kur an na sunna za Mtume Muhaammad (S.A.W)? Nimeshakwambia ni vigumu kutenganisha kichwa cha mwanamke wa kizanzibar na ushungihahahaa nikizungumzia zamani nazungumzia kabla ya Mapinduzi,hiyo picha ni miaka ya 60 ni kabla ya Mapinduzi,baada ya Zanzibar kujiunga na Tangayika,Zanzibar imeshuka kila kitu katika hadhi ya Dunia,imeshula ki Elimu,Kiuchumi,kidemokrasia nk..
Karume alichokifanya baada ya Mapinduzi aliwafukuza msheikh wakubwa wakubwa walikuwa tishio kwake,wengine walikimbilia Kenya,wengine Oman,nk...
Kadhi mkuu wa Kenya Sheikh Farsi alikuwa mzanzibari,watu waliotafisi Kuran kutoka kiarabu kwenda kiswahili ni wazanzibari...
Hivi sasa hapa Zanzibar kuna Sheikh yeyyote mwenye uwezo wa kutafsiri Kuran!!?Zanzibar sasa inatoa Masheikh kama akina sheikh Nyundo..😀
Masheikh wa sasa wanaona kuwalazimisha wanawake wavae mashungi ndio dini,mwanamke anavaa mashungi lakini ufuska anaoufanya utashangaa,Zanzibar unyanyasaji wa jinsia umezidi,ubakaji umezidi,..
nk
Jamii gani inawalazimisha ikiwa mtoto anapofika umri wa miaka 5 tu anapelekwa madrasa kujifunza dini yake?Kama mwanamke anavaa kwa mamuzi yake hiyo sawa,kwa hali ninayoina Zanzibar jamii inawalazimisha,..
Na matendo ni yapi mkuu em fafanua..Imani imekolea. Ila imani ni matendo sio shungi.
Unataka kunambia Msheikh wa zamani walikuwa hawaijui Kuran,mbona wanawake walikuwa wanavaa wavyojisikia..Ivi unajua kuwa hao mashekhe ambao wew unaawadharau izo sheria hawajaziweka wao wanafuata mungozo wa kur an na sunna za Mtume Muhaammad (S.A.W)? Nimeshakwambia ni vigumu kutenganisha kichwa cha mwanamke wa kizanzibar na ushungi
Kujifunika ngozi ya kondoo huku wewe ni chui.Na matendo ni yapi mkuu em fafanua..
Haujafafanua bali unaleta mipashoKujifunika ngozi ya kondoo huku wewe ni chui.
Hili ni swala la kiimani, linagusa imani za watu, ni swala la kuchangia kwa tahadhari, tunajaribu kuchangia kwa kujenga na sio kubomoa. Ikiwa huelewi wewe mmoja siwezi kuwachukiza au kuwakwaza maelfu.Haujafafanua bali unaleta mipasho
Basi kama huwezi kufafanua swala lako masuala ya mipasho kajiunge na Hadija Kopa...Hili ni swala la kiimani, linagusa imani za watu, ni swala la kuchangia kwa tahadhari, tunajaribu kuchangia kwa kujenga na sio kubomoa. Ikiwa huelewi wewe mmoja siwezi kuwachukiza au kuwakwaza maelfu.
WAVAAJI WA HIZO NGUO SASA HIVI WENGI WANA UKIMWI WANA MIPELE NA MIDONDA KIBAO VICHWANI MWILINI MIGUUNI NA MIKONONI KUFICHA NDIO WANAVAA HIVYO,CUSTOMER BEWARE.WAKO HATA WAKRISTO KIBAO WANAVAA HIVYO KUFICHA MIDONDA NA MIPELE
Hahahaha sas Masheke unaowazungumzia wew ni kabla ya mapinduzi unadhani Wazazi wa kipindi hicho walikuwa na Muwamko wakuwapeleka watoto wao madrasa wakiwa na umri mdogo ni sawa na Muwamko wa sasa?Unataka kunambia Msheikh wa zamani walikuwa hawaijui Kuran,mbona wanawake walikuwa wanavaa wavyojisikia..
Kiwango cha uelewa ndio tatizo hapo.Basi kama huwezi kufafanua swala lako masuala ya mipasho kajiunge na Hadija Kopa...
UmeonaeeKiwango cha uelewa ndio tatizo hapo.
😱😱 unazungumza nini,!!??Nusu ya wazanzibari wa wakati huo walikuwa hawawapele watoto wao skuli,bali watoto wanapelekwa chuoni(Madrass,)mtoto wa wakati huo akifika umri wa miaka kumi ameshaweza kukariri musahafu mzima...Hahahaha sas Masheke unaowazungumzia wew ni kabla ya mapinduzi unadhani Wazazi wa kipindi hicho walikuwa na Muwamko wakuwapeleka watoto wao madrasa wakiwa na umri mdogo ni sawa na Muwamko wa sasa?
kwahiyo mwanamke akawa mzinzi,mshirikina,mwizi nk haya si kitu walau huyo mtu awe anafunga kichwa anapata thawabu?Ni moja wapo kati ya tendo jema ambalo limesababisha kuficha kichwa chako.. Hapo thawabu ndo zinapopatikana kwa mwanamke.
Nami pia nakupendasimple and clear nimekupenda bure Mjukuu wa chifu