Kwanini wanawake wa Kinzanzibari wa miaka hii mishungi imezidi!?Kunani

Kwanini wanawake wa Kinzanzibari wa miaka hii mishungi imezidi!?Kunani

😱😱 unazungumza nini,!!??Nusu ya wazanzibari wa wakati huo walikuwa hawawapele watoto wao skuli,bali watoto wanapelekwa chuoni(Madrass,)mtoto wa wakati huo akifika umri wa miaka kumi ameshaweza kukariri musahafu mzima...
Ikiwa saiv tu idadi ya Wazanzibar sijui ata kama imefika M2 je kwa wakat huo unawazungumzia idadi nusu ya Wazanzibar wapi?
 
kwahiyo mwanamke akawa mzinzi,mshirikina,mwizi nk haya si kitu walau huyo mtu awe anafunga kichwa anapata thawabu?
religion is opium of the people.
Kwa iyo unamanisha mtu akiwa na Dhambi ya uzinzi ata afanye jema jengine vpeee hawezi kupata thawabu si ndio?
 
Ikiwa saiv tu idadi ya Wazanzibar sijui ata kama imefika M2 je kwa wakat huo unawazungumzia idadi nusu ya Wazanzibar wapi?
Tumia akili yako mkuu,kiswahili nafikiri ni lugha yako,..
 
Kwani bro point yako hasa ni nini??
Unakereeka wao kuvaa ushungi au kipi hasa unachohitaji kufahamu??

Maana umekazania wawakilishi wa miaka ya 60 sijui blah blah kibao.

Watanzania sijui tulirogwa na nani??
Wavaa vimini wanaitwa Malaya sijui hawafati maadili,

Wavaa ushungi wanawakera watu mpk wanazeeka kabla ya siku zao kwa kukunja ndita,

Wakivaa mavazi ya kiume ndio mama weeee laana zote za dunia watawashushia.

Kwann hua hampendi kuishi maisha yenu kuliko kufatilia uhuru wa mtu?
Tunapoteza muda mwingi kumfatilia mtu badala ya kufanya mambo ya kimaendelea no wonder tutabaki maskini mpaka kiama.
 
Tatizo usiwalazimishe watu hasa wanawake kuvaa mashungi,waacheni wawe huru wavae wanachotaka,manatumia mwevuli wa dini kuwadhibiti watu..
Now nimekuelewa....

Kwani mzee ulinyimwa mke ZnZ nini?? maana sio kwa hasira hizo.

LoL
 
Now nimekuelewa....

Kwani mzee ulinyimwa mke ZnZ nini?? maana sio kwa hasira hizo.

LoL
😀😀 hapana Mkuu,nakumbuka tu enzi zangu niliokwa nakwenda skuli pale Hailesalasie,watoto wa kizenji wanawaka,nywele nzuri,sura nzuri,wanawake wa kihindi,wakiarabu,wakiafrika,waliochanganya damu wote wanang'ara,walikuwa hawavai mashungi kama sasa

Hivi sasa hapa Zenji si wanafunzi,sio wari,sio wajane sio wazee,wote mashngi kama wanakwenda msibani,nini kimetokea hata Zenji imefikia hapa.

Wakati wa utawala wa Sultan amabe alikuwa mwarabu watu walikuwa huru,wanavaa wanavyotaka,sisi wenyewe wahadimu tumechukua nchi watu wamekuwa warabu kuliko warabu wenyewe,kunani
 
Kwani wanao husika wamelalamika kua wanalazimishwa kuvaa hivyo?mimi nafikiri ni uamuzi wa mtu kujichagulia avaaje.
 
Kwanini wanawake wa kizanzibari wa kizazi hichi,uvaaji wa kufunika vichwa umezidi?mpaka miaka ya 80 ulikuwa huoni uvaji kama huo hasa kwa vijana,waliokuwa wakivaa mashugi ni wazee tu,nini kimetokea
Vivyo hivyo kwa jamii nyingine za kiislamu kama wasomali etc. naona vya kurithi vinazidi. Picha zinaonyesha jinsi wanawake wa kisomali walikua wanavaa enzi hizo.
 

Attachments

  • 31768043-286D-4852-997E-10AF7F889FAE.jpeg
    31768043-286D-4852-997E-10AF7F889FAE.jpeg
    148.8 KB · Views: 3
  • 4440F8A5-1D92-486F-8008-60D824B813DA.jpeg
    4440F8A5-1D92-486F-8008-60D824B813DA.jpeg
    40.9 KB · Views: 3
  • 7459EB1D-8080-4F62-A9F9-4D763436D4A6.jpeg
    7459EB1D-8080-4F62-A9F9-4D763436D4A6.jpeg
    104.7 KB · Views: 3
Huwa nashangaa sana mods wanafuta post za kawaida sana alafu post kama hii bado iko hai jukwaani.

Huu ni mtazamo wenu wapingaji familia za kizanzibar zimeridhia kufuata maamrisho ya Allah kwahyo wanafanya hivyo si kuna uhuru wa kuabudu mbona mnataka mtie fikra zenu chafu ndani ya watu embu tizama zanzibar ilivyofahamika kwa maadili kwa muda mrefu.

Tena Allah jaalia muungano uvunjika wazanzibar wawe salama na dini yako iwe salama.
 
Back
Top Bottom