Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Haikuhusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa tatizo ni nini kwako ?Kwa wakati wa miaka ya 60 kulikuwa na wazanzibari wasiozidi laki tatu(300,000) pale zanzibar na wote walikuwa waislam lakini uvaaji wao sio kama hawa wa sasa hivi,wanawake walikuwa na uhuru wa kuvaa wanachokitaka, kunani
simple and clear nimekupenda bure Mjukuu wa chifuHaikuhusu
Kwan uhuru unamaanisha nini kwa upande wako? Au ushungi unakuadhiri nini?Misingi gani inayofaa wakati Tanzania serikali haina dini,mpaka miaka ya 80 wanafunzi walikuwa hawalazimishwi kuvaa mashungi Zanzibar,Sasa unataka kusema hao masultani walikuwa haana maadili ba raia wao,..
Ninavyojua mimi na historia ya Zanzibar inavyosema,Masheikh wengi wa kimataifa,wa Oman,wa Kenya na nchi yengine,watu walikuwa wanatoka nchi mbali mbali kuja kusoma Dini ya kiislam Zanzibar...
Sasa kimetokea nini?waafrika baada ya kupata uhuru na kujitawala mmetupeleka kwenye mashungi!!
kule hakuna kulazimishwa kama ilivyo bara. Hakuna kulazimishwa wanawake kuvaa sketi kwenye ofisi za umma lakini wanavaa.Uhuru ni kufanya mambo bila ya kulazimishwa,hamna ubaya wowote kama mashungi yanavaliwa kwa ridhaa ya mtu,bila ya msukumo wa serikali au kikundi fulani
wanawake wa Zanzibar wana nywele nzuri tu kwani wengi wa wazanzibari ni watu waliochanganya na watu wa middle east au Asia,hawana haja ya kuvaa mawigi,hiyo picha hapo juu inaonyesha hamna mwanamke alievaa wigi,Kwani huo ustaarabu wa dini umeanza leo hapo Zanzibar!?..Wanawake wa Kizanzibar hawatavaa Mawigi yanayonuka Kama anayovaa mke wako. Watavaa Shungi na Hijabu kama maarisho ya dini na Ustaarabu wao anavyotaka. Manywele ya Bandia atavaa Mama yako . wazanzibari watavaa shungi hata Kama wewe na Makafiri wenzio mtachukia
Jiulizee Zamani iyo inayotoa mashekhe wakubwa wakubwa ilikua ni kabla ya Mungano wa Tanganyika na Zanzibar au baada ya Mungano? Na kwani ni nani alielazimishwa kuvaa ayo mashungi? Kuna walioshikiwa mitutu ili wavae mashungi?wanawake wa Zanzibar wana nywele nzri tu kwani wengi wa wazanzibari ni watu waliochanganya na watu wa middle east au Asia,hawana haja ya kuvaa mawigi,hiyo picha hapo juu inaonyesha hamna mwanamke alievaa wigi,Kwani huo ustaarabu wa dini umeanza leo hapo Zanzibar!?..
Zamani Zanzibar ilikuwa inatoa masheikh wakubwa wakubwa,massheikh waliojulikana katika dunia yote ya kiislam,hivi sasa mnatoa sheikh gani,kuna sheikh yoyote anaejulikana kimataifa??..mnajichanganya,hamjui mnachokifanya,dhawabu haipatikani kwa kulazimisha mtu..
hahahaa nikizungumzia zamani nazungumzia kabla ya Mapinduzi,hiyo picha ni miaka ya 60 ni kabla ya Mapinduzi,baada ya Zanzibar kujiunga na Tangayika,Zanzibar imeshuka kila kitu katika hadhi ya Dunia,imeshula ki Elimu,Kiuchumi,kidemokrasia nk..Jiulizee Zamani iyo inayotoa mashekhe wakubwa wakubwa ilikua ni kabla ya Mungano wa Tanganyika na Zanzibar au baada ya Mungano?
Thawabu zinapatikana kwa kila tendo jema.. Hayo mabaya unayoyazungumzia watalipwa kwa majibu wa ubaya wao.Thawabu haipatikani kirahisi hivyo....wengine wachafu wanaficha uchafu vichwani mwao
Haiwezekan jamii iwalazimishe mkuu.....Wameamua kujisitiri tuKama mwanamke anavaa kwa mamuzi yake hiyo sawa,kwa hali ninayoina Zanzibar jamii inawalazimisha,..
Ni moja wapo kati ya tendo jema ambalo limesababisha kuficha kichwa chako.. Hapo thawabu ndo zinapopatikana kwa mwanamke.thawabi hupati kwa kuvaa ushungi bali matendo mema.