mbongowakweli
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 848
- 684
Acha tu, sasa wenye dini walivyomafiarauni ni hatari...
Wanadai anayeiga anakuwa mnazi zaidi kuliko mwenyewe..
Wanadai anayeiga anakuwa mnazi zaidi kuliko mwenyewe..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kama wanawake wa Kinzanzibari wa miaka ya 60 walikuwa wakiiwakilisha Zanzibar katika mikutano ya kimataifa wamevaa hivyo walivyo vaa katika hiyo picha,sasa utasemaje kuwa asili ya Zanzibar ni kuvaa kama anavyovaa Samia Suluhu!??kwani uwaoni wanavyopendeza na wakivalia shungi,hyo ndo asili ya mzanzibari pili wapata thawabu kwa mwenyezi mungu.muone mama Samia anavyopendeza.
Hata watoto wa shule nao wanavaa mashungi kule Zanzibar,lazima kuna msukumo kutoka sehemu fulani,au watu wamechannyikiwa kiaina,..WAVAAJI WA HIZO NGUO SASA HIVI WENGI WANA UKIMWI WANA MIPELE NA MIDONDA KIBAO VICHWANI MWILINI MIGUUNI NA MIKONONI KUFICHA NDIO WANAVAA HIVYO,CUSTOMER BEWARE.WAKO HATA WAKRISTO KIBAO WANAVAA HIVYO KUFICHA MIDONDA NA MIPELE
Misingi gani inayofaa wakati Tanzania serikali haina dini,mpaka miaka ya 80 wanafunzi walikuwa hawalazimishwi kuvaa mashungi Zanzibar,Sasa unataka kusema hao masultani walikuwa haana maadili ba raia wao,..Kuna kuvaa mashungi kwa kufuata misingi ya kidini na kunakuvaa shungi kama tamaduni. 60s uhuru 64 nchi ikaweka misingi inyoona inafaa kwa manufaa yao. Haidhiri maisha ya wengine
Halafu wanadusaga hatari[emoji16][emoji3][emoji3][emoji16]hizi dini hizi huwa nazichekiiii halafu nasema hiiiiii!Sasa kama mashungi tu wanayovaa wazanzibar yanakutoa mapovu ivooo je ukifika ule wakat wa Mfungo mtukufu wa Ramadhan Serekali ya Zanzibar kama kawaida yake ikatoa onyo kuwa ni marufuku kwa mtu yoyote kula hadharan wakat wa swaum si utatokwa na mapovu mpaka uharishe wew?
Hiyo ya kutokula nje mwezi wa Ramadhani ni asili ya Zanzibar ni mila za wazanzibari tangu enzi za kale,wale wasiofunga wanakatazwa kula hadharani ili wasiwaudhi wale waliofunga kwangu mimi naona hiyo ni "fair enough",lazima watu waheshimu imani za watu wengine..Sasa kama mashungi tu wanayovaa wazanzibar yanakutoa mapovu ivooo je ukifika ule wakat wa Mfungo mtukufu wa Ramadhan Serekali ya Zanzibar kama kawaida yake ikatoa onyo kuwa ni marufuku kwa mtu yoyote kula hadharan wakat wa swaum si utatokwa na mapovu mpaka uharishe wew?
Kwani we unavaaje mkuu?View attachment 770633
Hawa ni wanawake wasomi wakiwakilisaha Zanzibar miaka ya 60,umejionea vipi wamevaa,nini kimetokea kwa wanawake wa kizanzibari kuanza kujivalisha mishungi,!!? ukimwanglia Makamo wa raisi Mh Suluhu na mawaziri wengine wa kike kutoka Zanzibar mavazi wanayovaa yanashangaza,...mdau nipe ufafanuzi
Uislam unaamini kwamba jambo lolote aliloliamrisha Mwenyeezi Mungu ukalifanya hata kwa uchache wa kama punje ya mchanga basi utalipwa ujira wake kulingana na ukubwa uliyo ufanya na dhambi vile vile utalipwa kulingana na ukubwa wake uliyoufanya.Thawabu haipatikani kirahisi hivyo....wengine wachafu wanaficha uchafu vichwani mwao
Sasa hujui kama ata iyo kujitanda ushungi ni moja ya sheria ktk iman ya mtu?Hiyo ya kutokula nje mwezi wa Ramadhani ni asili ya Zanzibar ni mila za wazanzibari tangu enzi za kale,wale wasiofunga wanakatazwa kula hadharani ili wasiwaudhi wale waliofunga kwangu mimi naona hiyo ni "fair enough",lazima watu waheshimu imani za watu wengine..
thawabi hupati kwa kuvaa ushungi bali matendo mema.Wenzio wanafukuzia thawabu za munyaazi mungu hawawezi kukuelewa zaidi sana utaonekana ni mtu mwenye chokochoko za kidini. Tuwaache waishi kwa mujibu wa imani na matarajio yao
kwahiyo wenye asili ya uhindi hawawezi kuwa wazanzibar?Wawili kati yao inaonekana ni wahindi. Mkuu pengine hao hawakuwa waislamu regardless wametokea Zanzibar.
Hata hapo zama za kale pale Zanzibar,hakukuwa na kulazimishana kuvaa mashungi anaetaka anavaa asietaka havai,leo hii mpaka watoto wa shule sare zao ni kuvaa mashungi,mawaziri mashungi,wafanyakazi mashungi,kunani Zanzibar,ukiwauliza wazanzibar wanakwambia hizi ndio itikadi za wazanzibari,mbona hizo itikadi hazikuwepo hapo zamani,nani kazileta hivi sasa na kwa faida ya nani??!Sasa hujui kama ata iyo kujitanda ushungi ni moja ya sheria ktk iman ya mtu?
Hahaha kwa iyo kuvaa shungi ni miongoni mwa matendo maovu au?thawabi hupati kwa kuvaa ushungi bali matendo mema.
Elewa kwamba ayo mashungi hawajanza kuvaa ukubwani ayo mashungi huanza kuvaaa toka udogoni wakiwa na miaka 4 ama wanapoanzishwa madrasa na uko madra hufunzwa sheria mbali mbali tu za kislam miongoni mwa sheria ni iyo kujitanda kichwan kwani kwa sheria ya kislam kwa mwanamke unapoonekana unywele wake mmoja tu ni dhambi so ni vigumu mwanamke wa kislam kumtenganisha kichwa chake na ushungiHata hapo zama za kale pale Zanzibar,hakukuwa na kulazimishana kuvaa mashungi anaetaka anavaa asietaka havai,leo hii mpaka watoto wa shule sare zao ni kuvaa mashungi,mawaziri mashungi,wafanyakazi mashungi,kunani Zanzibar,ukiwauliza wazanzibar wanakwambia hizi ndio itikadi za wazanzibari,mbona hizo itikadi hazikuwepo hapo zamani,nani kazileta hivi sasa na kwa faida ya nani??!
Wanawake wa Kizanzibar hawatavaa Mawigi yanayonuka Kama anayovaa mke wako. Watavaa Shungi na Hijabu kama maarisho ya dini na Ustaarabu wao anavyotaka. Manywele ya Bandia atavaa Mama yako . wazanzibari watavaa shungi hata Kama wewe na Makafiri wenzio mtachukiaView attachment 770633
Hawa ni wanawake wasomi wakiwakilisaha Zanzibar miaka ya 60,umejionea vipi wamevaa,nini kimetokea kwa wanawake wa kizanzibari kuanza kujivalisha mishungi,!!? ukimwanglia Makamo wa raisi Mh Suluhu na mawaziri wengine wa kike kutoka Zanzibar mavazi wanayovaa yanashangaza,...mdau nipe ufafanuzi