Thawabu haipatikani kirahisi hivyo....wengine wachafu wanaficha uchafu vichwani mwaoWenzio wanafukuzia thawabu za munyaazi mungu hawawezi kukuelewa zaidi sana utaonekana ni mtu mwenye chokochoko za kidini. Tuwaache waishi kwa mujibu wa imani na matarajio yao
Kwanini wanawake wa kizanzibari wa kizazi hichi,uvaaji wa kufunika vichwa umezidi?mpaka miaka ya 80 ulikuwa huoni uvaji kama huo hasa kwa vijana,waliokuwa wakivaa mashugi ni wazee tu,nini kimetokeaMimi nafikiri kuongelea uhuru wa mtu wa kuvaa (bila kuadhiri sheria za Nchi) au Imani ya mtu ni kama vile tumeishiwa mada za kujadili
Labda kwa kifupi tu:
Kwa wanaoamini Biblia: Mama yake Yesu na wale mama wengine walioshiriki mambo mbali mbali nyakati za Yesu karibia wote walikuwa wamefunika vichwa
Kwa waisilamu hivyo hivyo wanawake walio shiriki kwa namna mbalimbali wakati wa mtume Issa na Mohamad wote walionekana kuwa wamefunika vichwa
Kwa msingi huo, ningefikiri ambao hawajafunika vichwa ndio ingekuwa ajabu na sio vinginevyo!!!!
Kwa wakati wa miaka ya 60 kulikuwa na wazanzibari wasiozidi laki tatu(300,000) pale zanzibar na wote walikuwa waislam lakini uvaaji wao sio kama hawa wa sasa hivi,wanawake walikuwa na uhuru wa kuvaa wanachokitaka, kunaniWenzio wanafukuzia thawabu za munyaazi mungu hawawezi kukuelewa zaidi sana utaonekana ni mtu mwenye chokochoko za kidini. Tuwaache waishi kwa mujibu wa imani na matarajio yao
Kiufupi mkuu,mie naziona hizi dini dini zetu kama tanzi fulani hivi inayohusiana na utumwa wa fikra.(nisamehe bure lakini).napenda/natamani kuwa huru zaidi.labda mkuu,""extremist on the rise""
Na ndio maana nikaweka huu uzi mkuu,neno kubwa unalolisikia kutoka kwa watawala siku hizi ni "Maadili" ya mtanzania,mimi nakuwa najiuliza hili neno "Maadili" maana yake ni kumyima uhuru mtoto wa Kitanzania kujiamulia cha kuvaa,..Kiufupi mkuu,mie naziona hizi dini dini zetu kama tanzi fulani hivi inayohusiana na utumwa wa fikra.(nisamehe bure lakini).napenda/natamani kuwa huru zaidi.
Je, thawabu hizo na dini hiyo havikuwepo miaka hiyo ya 60's?Wenzio wanafukuzia thawabu za munyaazi mungu hawawezi kukuelewa zaidi sana utaonekana ni mtu mwenye chokochoko za kidini. Tuwaache waishi kwa mujibu wa imani na matarajio yao
Sasa mkuu hapo umepangua gia angani.Na ndio maana nikaweka huu uzi mkuu,neno kubwa unalolisikia kutoka kwa watawala siku hizi ni "Maadili" ya mtanzania,mimi nakuwa najiuliza hili neno "Maadili" maana yake ni kumyima uhuru mtoto wa Kitanzania kujiamulia cha kuvaa,..
mboa wazee wetu walikuwa wanavaa wanachotaka, je walikuwa hawana maadili,sisi tumekuwa na maadili kuliko waliotuzaa au walio tangulia kabla yetu,kunani?
WAVAAJI WA HIZO NGUO SASA HIVI WENGI WANA UKIMWI WANA MIPELE NA MIDONDA KIBAO VICHWANI MWILINI MIGUUNI NA MIKONONI KUFICHA NDIO WANAVAA HIVYO,CUSTOMER BEWARE.WAKO HATA WAKRISTO KIBAO WANAVAA HIVYO KUFICHA MIDONDA NA MIPELEWenzio wanafukuzia thawabu za munyaazi mungu hawawezi kukuelewa zaidi sana utaonekana ni mtu mwenye chokochoko za kidini. Tuwaache waishi kwa mujibu wa imani na matarajio yao