Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Mwanamke ukiiondoa pussy yake bado ana survive vizuri kabisa, uwepo wa mwanamke popote ni tunu na nuru, ila mwanaume kuondolewa kende mmmh, bwabwabwaaaaa😂Nabaki na uwezo wa kumhudumia huyo ambaye ukiondoa pussy anabakia empty set
Usije jaribu kuoa mzigo kaka. Solution hapa ni kuoa kwa kuangalia uchumi wenu wote wawili. Matajiri ulimwenguni ndo wanafanya hivyoSoluhisho ni kutooa kabisa au kuoa wa darasa la saba hapo ndo angalau utapata mke wanyumbani na madai yanapungua kidoho.
Wanawake wanataka 50 /50 kwenye kutumia ila hawaitaki kwenye utimizaji wa majukumu.Mwanamke wako mnayependana kukutaka urudi nyumbani mapema nayo ni 50/50??
Hembu weka mfano wa maana wenye mashiko wa hiyo 50/50 ambayo wanawake wanaitaka.
Mfano matumizi gani wanawake wanataka 50/50 na majukumu gani ambayo wanawake hawataki utimizaji 50/50?Wanawake wanataka 50 /50 kwenye kutumia ila hawaitaki kwenye utimizaji wa majukumu.
Waanze na kupandisha umri wa kuolewa wa mabinti hadi miaka 18 kama ilivyo kwa vijana wa kiume, ni uonevu kuruhusu watoto wa kike wa miaka 14 kuolewa.Kosa lipo kwa serikali kwa kushindwa ku update sheria ya ndoa ya 1971 lakini ime impose sera nyingi sana za usawa. Ilipaswa ku update sheria ya ndoa kwanza.
Kuna mwanaume kapuku enzi hizi anayetaka mke mama wa nyumbani tu?Soluhisho ni kutooa kabisa au kuoa wa darasa la saba hapo ndo angalau utapata mke wanyumbani na madai yanapungua kidoho.
Some of them men think they freak thisHalafu utasikia "ukiondoa pussy yake, hana alichobakiza" ajabu hao hao ni 24/7 kuwaongelea wanawake,
wanawake this, wanawake that,
WHO RUN THE WORLD......WOMEN👑🎊🥳
The wanna be’s🙄 deep down she’s dying for same treatment lol, the bi$ch must be trans gay! Fvck her😏
Anataka mshahara kama wa mmuwe ila wakati huo kwenye kulipa ada za watoto na kutimiza majukumu ya kifamilia anataka mme ayabebe peke yake hela yake ni yakufanyia mambo anayo yajua yeye.Mfano matumizi gani wanawake wanataka 50/50 na majukumu gani ambayo wanawake hawataki utimizaji 50/50?
sheria ya ndoa inasemaje boss mbona ni hile hile ya zamani ambayo inayofuata rule of thumbKosa lipo kwa serikali kwa kushindwa ku update sheria ya ndoa ya 1971 lakini ime impose sera nyingi sana za usawa. Ilipaswa ku update sheria ya ndoa kwanza.
Anakuja kukua angalau umepiga miaka kadhaa, kuliko au women actbists ndoa kudumu miaka miwili tu.Huyo wa la saba hakui? atabaki young milele?
Suluhisho hapo ni yeye avae vyote, akitaka kua mwanamke na awe tu