Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kuendesha gari haipo katika makatazo ya dini bali ni katika desturi zao tu SaudiaNi tafsiri mbovu tu za dini yenyewe. Huko Saudi Arabia hadi mwaka 2015 wanawake walikuwa hawaruhusiwi kuendesha magari.
Ila alipokuja mwana wa mfalme Mohamed Bin Salaman akaona kuwa ni UDWANZI wala Quran haijawazuia.
Akaruhusu waanze kuendesha kuanzi mwaka 2017 hadi leo.
Waislamu acheni kukariri, kuweni extrovert
Wapigwe marufuku na kupiga KURA ...NI UPUMBAVU WANAWAKE KUWA WANASIASA AU KUPIGA KURAKwa nini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kushiriki shughuli muhimu za maziko kama hata kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?
Hii ni.mojawapo ya Heshima kubwa waliopewa wanawake wa kiislamu,wanaume ndio wafanye kazi ya kuzika na kuwalisha na kuwapatia.mahitaji yao wanake na Vile vileKwa nini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kushiriki shughuli muhimu za maziko kama hata kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?
Maneno ya kiarabu huwezi kuyakwepa,hata Hisabati tunayosoma ni maandishi ya kiarabu,kuanzia 0123456789,na pia maneno kama darasa,kemia,khatibu,Rais,Waziri,Dar es Salaam,msamiati,Hutuba,Hazina,Suruwali,nk ni maneno ya kiarabu.Na haya masndishi tunayoyatumia ni Kilatini,mzungu hana alphabet(neno la kiarabu),anatumia kilatini,lakini muarabu ana alphabet yake.Kiswahili ni cha nyinyi waarabu na dini yenu. I have my vernacular, well articulated, and then, between the two foreign languages, one from Arabia and one from the Western world, I opted for English, not Swahili!
Ujinga ni kujifunza lugha ya Waarabu! Siwezi! Na form 4 nilipata F maana sikuisoma kabisa!
Sheikh ila kuzuru na kuhudhuria mazishi ni mambo mawili tofauti kabisa ingawa hadithi nyingi zinasema marufuku, kukatazwa kwao ni kwa sababu wako emotionally zaidi na kilia sana kwa sauti ndio haitakiwiKatika Uislamu, suala la wanawake kutembelea makaburi linaweza kuhusishwa na sheria na kanuni za dini, lakini pia lina muktadha wa kihistoria na tamaduni.
1. Hadithi:
Kuna hadithi zinazosema kwamba Mtume Muhammad aliwaonya wanawake dhidi ya kutembelea makaburi. Hizi zinaweza kutafsiriwa kama tahadhari dhidi ya mazoea yasiyofaa, lakini sio kama sheria kali.
2. Qur'an:
Hakuna aya maalum katika Qur'an inayokataza wanawake kutembelea makaburi. Qur'an inahimiza kumbukumbu ya waliokufa na kujifunza kutokana na maisha yao.
3. Tafsiri za Wanazuoni:
Wanazuoni mbalimbali wanatoa tafsiri tofauti kuhusu hadithi hizi. Wengine wanaona kuwa ni muhimu kwa wanawake kutembelea makaburi kama sehemu ya kutoa heshima, wakati wengine wanaweza kuzingatia hadithi kama kanuni ya kutoenda.
4. Muktadha wa Kijamii:
Katika muktadha wa historia, wanawake walihusika katika kutembelea makaburi, na hali hiyo inaonyesha kuwa desturi hizo zilitofautiana kulingana na jamii na wakati.
Kwa hivyo, suala hili linaweza kuwa na sheria na kanuni, lakini pia linaelezwa kwa njia ya muktadha wa kihistoria na tamaduni tofauti. Kila jamii inaweza kuwa na mtazamo wake, na ni muhimu kufuata maongozo ya viongozi wa kidini.
wale ni wanaume jamii ya wanawake 😀 😀 😀 😀 😀Hiyo sababu itakuwa haina mashiko, Mbona kwenye huo msiba wanaume ndio wameonyeshwa wanalia kuliko wanawake!
Na wanawake kutokwenda shule huko Afghanistan??Kuendesha gari haipo katika makatazo ya dini bali ni katika desturi zao tu Saudia
Kwani nchi zote za kiarabu wanawake wanaendesha na walikuwa wanaendesha siku zote
Ni maamuzi ya Wasaudi ila halihusiani kabisa na dini
Sababu ya kipuuzi kabisa hii. Kuna wanaume pia ambao wako emotional mbona wanakuja makaburini??Sheikh ila kuzuru na kuhudhuria mazishi ni mambo mawili tofauti kabisa ingawa hadithi nyingi zinasema marufuku, kukatazwa kwao ni kwa sababu wako emotionally zaidi na kilia sana kwa sauti ndio haitakiwi
Na Mungu anajua zaidi
Ni maamuzi ya watu wa huko kama sisi kuchagua mpira na betting badala ya maendeleoNa wanawake kutokwenda shule huko Afghanistan??
Wapo wanaume wa hivyo ndio wakimuona hata Raisi wanagaragara na kuonyesha hisiaSababu ya kipuuzi kabisa hii. Kuna wanaume pia ambao wako emotional mbona wanakuja makaburini??
Kwa nini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kushiriki shughuli muhimu za maziko kama hata kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?
Sawa lakini mambo mengine unajiongeza. Africa South of Sahara, kuna joto hado 40 C sometimes , mtu anakwambia uvae burqa, nawe unatii kuwa ni taratiibu... Inabidi hapo ujiongezeKila dini ina sheria na taratibu zake.
latini ni nchi gani? Is it not Italy? Hao si wazungu? I stand to be corrected!Kilatini,mzungu
Unaelewa vilivyo dhana ya dini kweli ndugu?Sawa lakini mambo mengine unajiongeza. Africa South of Sahara, kuna joto hado 40 C sometimes , mtu anakwambia uvae burqa, nawe unatii kuwa ni taratiibu... Inabidi hapo ujiongeze
sasa unafura nini? hayo ya Kibwetele et al, ndiyo nasisitiza kutojiongeza huko!Unazungumzia vazi!! Vazi kitu gani mbele ya dini (imani) ya mtu!!? Kibwetere alichoma watu Uganda kwasababu ya imani za dini. Kuna mchungaji wa Kenya kashawishi na kaaminisha watu waache kula hadi kifo sababu ya imani za dini.
Ndo udikteta wenyewe huo...na uzuri watu wengi washasanukaUnaelewa vilivyo dhana ya dini kweli ndugu?
Unazungumzia vazi!! Vazi kitu gani mbele ya dini (imani) ya mtu!!? Kibwetere alichoma watu Uganda kwasababu ya imani za dini. Kuna mchungaji wa Kenya kashawishi na kaaminisha watu waache kula hadi kifo sababu ya imani za dini.
West Africa akina mama wanadhalilishwa utu wao na wachungaji wa madhehebu sababu ya imani za dini.
Dini sio jambo la mzaha , sio jambo jepesi Wala rahisi.
Ni aidha unaamua kufuata taratibu za dini husika au unaachana na hiyo dini, vinginevyo utaingia kwenye migogoro isiyo ya lazima.
Hakuna utaratibu wa kuuliza maswali kanisani Wala msikitini . Ni mwendo wa kukubali tu Yale yanayoelezwa na aidha mchungaji / padre/ imamu/ sheikh na kadhalika