Kwanini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

Kwani lazima kila kitu anacho fanya mwanaume na mwanamke afanye? Mfalme Selemani alikuwa na wanawake 700 ebu tuambie ni mwanamke gani alikuwa na wanaume hata 100 kwenye biblia? unaleta mambo ya mtaani hapa JF
Mbona unaniquote na kuuliza maswali yasiyohusiana na comment yangu?
 
Wanaruhusiwa ila hawaruhusiwi kuchanganyana na wanaume

Ova
 
Je na kukamuliwa kinyesi kitoke ikoje??!!
Kila dini ina sheria na taratibu zake ndugu.

Wakristo Wana sheria na taratibu zao. Waislamu Wana sheria na taratibu zao. Wapagani pia wana sheria na taratibu zao.

Ni suala la kuchagua unapoona panakufaa unakaa humo
 
Kwani wakienda kuna hatari/physical consequences or to put it in a religious perspective, moral consequences gani zitatokea?

Uislam uko very conservative, extremely conservative! Unawaona wanawake as OBJECTS of men!

(nitakao wakwaza naomba radhi for my observation)
Yule anayevaa chupi ..au miniskirt na kuacha maumbile yake nje .. wanaume wafurahie .. kwako wewe huyu yupo huru na sio object for men.. ila anyevaa stara wewe unashida naye kwamba hayupo huru sababu anajificha wanaume wasione akiwa uchi
 
Hatari ipo kubwa sana. Katika viumbe ambao ni wepesi sana kuchupa mipaka ni Wanawake, kadhalika wepesi kujizuia ni wao.

Kwahiyo dini imekataza wao wasiende kwa sababu hiyo na nyinginezo za kimaslahi.

Uislamu upo makini sana, na ni dini ambayo inaangalia sana maslahi kuliko ufisadi. Aliyeweka hiyo Sheria anawajua zaidi Wanawake kuliko Mimi na wewe sababu ameaumba yeye.

Kwa ufupi dini ya kiislamu Iko mbele ya akili zetu mzee, pindi utakapo tafakari ndio utaona uzuri wa Sheria zake.
 
Kuvaa stara ndio kuvaaje??
 
Dini za Mzungu na Mwarabu zimetupofusha kupita kiasi!
 
Hatari ipo kubwa sana. Katika viumbe ambao ni wepesi sana kuchupa mipaka ni Wanawake, kadhalika wepesi kujizuia ni wao.

Kwahiyo dini imekataza wao wasiende kwa sababu hiyo na nyinginezo za kimaslahi.

Uislamu upo makini sana, na ni dini ambayo inaangalia sana maslahi kuliko ufisadi. Aliyeweka hiyo Sheria anawajua zaidi Wanawake kuliko Mimi na wewe sababu ameaumba yeye.

Kwa ufupi dini ya kiislamu Iko mbele ya akili zetu mzee, pindi utakapo tafakari ndio utaona uzuri wa Sheria zake.
🤣Aliyeweka Sheria ni muddy.. kama muddy kaumba wanawake sawa?
 
ila anyevaa stara wewe unashida naye kwamba hayupo huru sababu anajificha wanaume wasione akiwa uchi
Kuna huyu wa western world anavaa kwa vile ametaka, MY BODY MY RIGHT! lakini huyu wa arabuni anavaa kwa vile ni lazima,MTUME AMEAMRISHA akikaidi anapigwa mawe na WANAUME anakufa\ANAPIGWA VIBOKO NA WANAUME. Do you see the difference?
 
Back
Top Bottom