Mangi Meno
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 292
- 895
Sasa ndio sababu wanawake wasiende kuzika mkuu? Acheni kuendekeza ngono.Mashehe na mapadri ni wanadamu kama mimi na wewe....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ndio sababu wanawake wasiende kuzika mkuu? Acheni kuendekeza ngono.Mashehe na mapadri ni wanadamu kama mimi na wewe....
Tatizo hujui kama hujui.Soma tena vizuri, katiba inafuata Quran na sunna alafu unasema sio nchi ya kiislamu?
Unaonekana tayari una mtazamo hasi juu ya jambo hili.....Sasa ndio sababu wanawake wasiende kuzika mkuu? Acheni kuendekeza ngono.
Siku nyingine unapoandika kuhusu Vitabu vitakatifu anza na BIBLIA kisha fatia vingineTaratibu na Sheria mama kwenye dini yeyote Ile iwe Islam au Ukristo huwa ni Maandiko matakatifu (QURAN & BIBLIA)
Ndiyo maana binafsi ninataka kufahamu kama Quran Ina maelekezo yeyote kuhusu hili suala la Wanawake kutokwenda makaburini wakati wa mazishi!
Kama hakuna andiko na zinatumika kanuni na Sheria tu (Utamaduni) basi nadhani itakuwa Batili kwasababu Sheria na kanuni huweza kubadilishwa na yeyote lakini Msaafu haubadiliki!
Sultani wa Zanzibar alifariki akiwa safarini baharini, mtoto wale alisafiri na mwili mpaka akafika nao Zanzibar wakazika, je unajuwa ni kwa nini mwili haukuharibika na hakuna monchwari?Je na kukamuliwa kinyesi kitoke ikoje??!!
Aya gani hiyo mkuu?Wanasema sababu ni kuwa wanawake watalia huku wakujitupa makaburini ndio maana hawataki kuona vituko
Biblia Ndio kitabu cha kwanza?Siku nyingine unapoandika kuhusu Vitabu vitakatifu anza na BIBLIA kisha fatia vingine
Just imagine huyo ndio mke wako anaongea kama chirikuHuyo Sheikh alimaindi baada ya majirani wa Dida kugoma kwenda kuagia makaburini wakisema kwamba kwa nini hajapelekwa nyumbani kwake alikokuwa anaishi akaagwe kwa mara ya mwisho?
Walichofanya hao majirani, na wao wakaenda huko huko makaburini, wanaume kwa wanawake.
Sasa kama wao waliweka ratiba ya kuagia iwe makaburini walitegemea mashoga zake wasiende makaburini kwenda kuaga?
Badala ya kubwata na wanawake walioenda makaburini kuaga, wangedili na walioandaa ratiba ya mazishi.
View attachment 3118369
View attachment 3118370
Jaribu kuficha ujinga wako hata kwa sekunde chache acha kudhihaki dini za watuWanawake.waislamu wavaa hijabu hawadangi? Acha unafiki wewe.
Uliza sehemu zenye waislamu wengi za mikoa ya Pwani yote kuanzia Tanga hadi mtwara .Na hijabu zao wanadanga,pombe wanakunywa na kitimoto wanakula na umalqya kama kawa tena kuwazidi hata wakristo
Ukimsalimia tu na hijabu lake dada hujambo anakwambia sijamb9 nakusikiliza unasemaje funguka nakusikiliza
Narudia mikoa ya Pwani hakuna malaya kama wanawake Waislamu ndio maana kutwa wanaachika hata kama wake za watu na hijabu zaoJaribu kuficha ujinga wako hata kwa sekunde chache acha kudhihaki dini za watu
Nyoe mna mila kandamizi sanaa.Waheshimuni wanawake wenuWatu waheshimu imani za wengine. Mnaotaka kujua kwanini wanawake hawaruhusiwi makaburini kwenye uislamu jiungeni na uislamu ili mjifunze.
Katika uislam sheria imekataza Wanaume na wanawake kuchanganyika pamoja, pia imekataza wanawake na wanaume kugusana isipokuwa kwa ndugu wa damu, na hilo si msibani tu bali mahala popote pale hata harusini, pawe na hadhara au la,mfano mzuri ni msikitini "wanaume husali peke yao na wanawake husali peke yao.sio kama wakristo na dini nyingine ambapo wanaume na wanawake wanaruhusa yakukusanyika pamoja na hata kukumbatiana.Kwa nini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kushiriki shughuli muhimu za maziko kama hata kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?
Fuatilia jibu kuna andiko nimeshaweka.Hivi Waturuki ni waislamu wa aina gani? Mbona uislamu wao hauna makandokando ya Kiarabu! Tamthilia zao sioni makanzu, balaghashia wala mashungi! Kwa kweli wanawake wao wazuri and very modest. Haya, kuna shida gani kwenda makaburini kumzika mpendwa wako!!?
Uturuki Rais wao kwanza Mustafa Kemal Atatürk aliamua kulifanya taifa lake lisilo la kidini na kuelekea magharibi zaidi.Hivi Waturuki ni waislamu wa aina gani? Mbona uislamu wao hauna makandokando ya Kiarabu! Tamthilia zao sioni makanzu, balaghashia wala mashungi! Kwa kweli wanawake wao wazuri and very modest. Haya, kuna shida gani kwenda makaburini kumzika mpendwa wako!!?
Hivi tangu lini kafir akawa na lugha njema kwa dini ya Allah? Wewe unafikiri kwa nn Allah kawaita maadui zake na maadui wa waumin?Jaribu kuficha ujinga wako hata kwa sekunde chache acha kudhihaki dini za watu
Na hiyo ndio njia sahihi. Kuna sababu gani mimi kuvaa kama Mroma, sipati picha! Tizama tunalazimisha hata watoto wetu eti wavae ushungi shule za msingi na sekondari, wakirudi nyumbani hawavai, sikukuu ya IDI EL FITR hawavai!!!Uturuki Rais wao kwanza Mustafa Kemal Atatürk aliamua kulifanya taifa lake lisilo la kidini na kuelekea magharibi zaidi.
Kwa nini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kushiriki shughuli muhimu za maziko kama hata kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?