Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hayo Maelekezo yaliandikwa baada ya miaka mingapi tangu kufariki kwa mtume? Ukijipa muda wa kutumia akili utakuwa umeshaelewa.Kijana nani kakwambia hadith ni porojo? hadithi ni maelekezo ya mtume kwa waumini, mwanamke hawezi kubeba jeneza wala kuingia ndani ya kaburi, ila anaweza kukaa pembeni kwa utulivu wakati wa kuzika