ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Shura ni wasomi wakubwa wa kiislamu kwenye taifa husika, ambao wanatakiwa kumpima na kumpigia kura kiongozi husikaNaanza kukuelewa
Shura ninini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shura ni wasomi wakubwa wa kiislamu kwenye taifa husika, ambao wanatakiwa kumpima na kumpigia kura kiongozi husikaNaanza kukuelewa
Shura ninini?
Mtu mweusi ni kima aliyeweza kuvaa kaputulaHuyo Sheikh alimaindi baada ya majirani wa Dida kugoma kwenda kuagia makaburini wakisema kwamba kwa nini hajapelekwa nyumbani kwake alikokuwa anaishi akaagwe kwa mara ya mwisho?
Walichofanya hao majirani, na wao wakaenda huko huko makaburini, wanaume kwa wanawake.
Sasa kama wao waliweka ratiba ya kuagia iwe makaburini walitegemea mashoga zake wasiende makaburini kwenda kuaga?
Badala ya kubwata na wanawake walioenda makaburini kuaga, wangedili na walioandaa ratiba ya mazishi.
View attachment 3118369
View attachment 3118370
Kuweka mashada ni utamaduni wa magharibi, sio matakawa hata ya dini ya Ukristo, japo nafikiri dini nyingine kama Uislamu na Ubudha n.k huwa zinaweka mashada, pia hata atheists huwa wanaweka mashada.Mkuu kumradhi kidogo, nikadhani sitakutendea haki nikiacha kukuonyesha uzi wa mwenzako kama wewe juu in case hujauona:
Huu utamaduni wa kuweka mashada ya maua makaburini umetokea wapi?
Kwenye uzi wewe kama yeye majibu haya nikadhani yanakuhusu:
View attachment 3118939
Si kwa ubaya lakini.
#KikulachoChako, Hammaz, FYI.
Makaburi hayazui mtu kutamaniKwahiyo mashehe watawatamani huko makaburini? 😀😀😀😀
Bado hao inaowaita Makafiri waliomsumbua Mtume ndiyo walioleta Uislamu hadi wewe mtu wa Nangurukuru uka silimu. Na pia ndiyo wanaohifadhi mji mtakatifu wa Mecca. Usijifanye kuwa wewe ni Islam kuliko wale. Ni UWONGOUislamu sio Mecca na Madina ni maandiko wewe, kila mmoja yuko huru kusoma na kujifunza, kama ulikuwa ufahamu hao makafiri wengi walio msumbua Mtume walikuwa ni wakazi wa hapo hapo Saudi Arabia
Kuweka mashada ni utamaduni wa magharibi, sio matakawa hata ya dini ya Ukristo, japo nafikiri dini nyingine kama Uislamu na Ubudha n.k huwa zinaweka mashada, pia hata atheists huwa wanaweka mashada.
Usitafute kitakacho tokea, mfano mtu akizaa na Dada yake nini kitatokea mbona dini yako inakataza.Kwani wakienda kuna hatari/physical consequences or to put it in a religious perspective, moral consequences gani zitatokea?
Uislam uko very conservative, extremely conservative! Unawaona wanawake as OBJECTS of men!
(nitakao wakwaza naomba radhi for my observation)
Mashada watu wa imani zote wanaweka.
Wana hifadhi uislamu ni waislamu sio makafiri, mbona kama unaandika vitu ambavyo huelewi!!!, hapo Saudia wapo waislamu hao ndio wametuletea uislamu na hao ndio wanahifadhi uislamu sio kwa kelele kwa HOJA za kielimu na hapa ndio nakwambia UISLAMU sio Mecca wala Madina ni Quran na Sunah, hao makafiri wa hapo Saudia waendelee na ukafiri waoBado hao inaowaita Makafiri waliomsumbua Mtume ndiyo walioleta Uislamu hadi wewe mtu wa Nangurukuru uka silimu. Na pia ndiyo wanaohifadhi mji mtakatifu wa Mecca. Usijifanye kuwa wewe ni Islam kuliko wale. Ni UWONGO
Wewe jamaa mchawi nini 🤣Hapo lazima ni Mbeya.🤔
Ndio kama ambavyo Yesu akisema nuktaKwa Sababu muddy kasema... Full stop
Kwani lazima kila kitu anacho fanya mwanaume na mwanamke afanye? Mfalme Selemani alikuwa na wanawake 700 ebu tuambie ni mwanamke gani alikuwa na wanaume hata 100 kwenye biblia? unaleta mambo ya mtaani hapa JFWarlord Muddy aliona kuzika vibaka wake alioanzisha nao dini pindi wanapouawa mbele ya familia zao zinazolia na kuomboleza (mostly wamama) kunapunguza morali ya wapiganaji waliosalia.
Hivyo suluhisho likawa kupiga marufuku wanawake kuhudhuria mazishi.
Kama sio utamaduni wako inakuuma nini sasa? Au ndio nyie mnaodhani mna mamlaka ya kupangia kila mtu cha kufanya?🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huoni kama huu utamaduni una utata??
Basi ushajibiwa ni utamaduni wa watu 🤣🤣🤣🤣🤣Kuna mahali popote nimesema imeniuma?
Kuna mahali popote nimempangia mtu yeyote? Mimi si nimeuliza swali tu!
Hivi Waturuki ni waislamu wa aina gani? Mbona uislamu wao hauna makandokando ya Kiarabu! Tamthilia zao sioni makanzu, balaghashia wala mashungi! Kwa kweli wanawake wao wazuri and very modest. Haya, kuna shida gani kwenda makaburini kumzika mpendwa wako!!?
kwamba ww ndo mchambuzi wa sababu zenye mashiko na ambazo hazinaHiyo sababu itakuwa haina mashiko, Mbona kwenye huo msiba wanaume ndio wameonyeshwa wanalia kuliko wanawake!