Kwanini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

Kwanini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

Huyo Sheikh alimaindi baada ya majirani wa Dida kugoma kwenda kuagia makaburini wakisema kwamba kwa nini hajapelekwa nyumbani kwake alikokuwa anaishi akaagwe kwa mara ya mwisho?

Walichofanya hao majirani, na wao wakaenda huko huko makaburini, wanaume kwa wanawake.

Sasa kama wao waliweka ratiba ya kuagia iwe makaburini walitegemea mashoga zake wasiende makaburini kwenda kuaga?

Badala ya kubwata na wanawake walioenda makaburini kuaga, wangedili na walioandaa ratiba ya mazishi.

View attachment 3118369

View attachment 3118370
Mtu mweusi ni kima aliyeweza kuvaa kaputula
 
Mkuu kumradhi kidogo, nikadhani sitakutendea haki nikiacha kukuonyesha uzi wa mwenzako kama wewe juu in case hujauona:

Huu utamaduni wa kuweka mashada ya maua makaburini umetokea wapi?

Kwenye uzi wewe kama yeye majibu haya nikadhani yanakuhusu:

View attachment 3118939

Si kwa ubaya lakini.

#KikulachoChako, Hammaz, FYI.
Kuweka mashada ni utamaduni wa magharibi, sio matakawa hata ya dini ya Ukristo, japo nafikiri dini nyingine kama Uislamu na Ubudha n.k huwa zinaweka mashada, pia hata atheists huwa wanaweka mashada.
 
Uislamu sio Mecca na Madina ni maandiko wewe, kila mmoja yuko huru kusoma na kujifunza, kama ulikuwa ufahamu hao makafiri wengi walio msumbua Mtume walikuwa ni wakazi wa hapo hapo Saudi Arabia
Bado hao inaowaita Makafiri waliomsumbua Mtume ndiyo walioleta Uislamu hadi wewe mtu wa Nangurukuru uka silimu. Na pia ndiyo wanaohifadhi mji mtakatifu wa Mecca. Usijifanye kuwa wewe ni Islam kuliko wale. Ni UWONGO
 
Kuweka mashada ni utamaduni wa magharibi, sio matakawa hata ya dini ya Ukristo, japo nafikiri dini nyingine kama Uislamu na Ubudha n.k huwa zinaweka mashada, pia hata atheists huwa wanaweka mashada.

Nikadhani ungemueleza wewe mwenyewe hayo Covax mwenye mada hIyo.

Ila relevant kwa hapa, ni kuwa kila mtu ana yake kama aonavyo yeye inafaa.

Au wewe huoni hivyo ndugu?
 
Kwani wakienda kuna hatari/physical consequences or to put it in a religious perspective, moral consequences gani zitatokea?

Uislam uko very conservative, extremely conservative! Unawaona wanawake as OBJECTS of men!

(nitakao wakwaza naomba radhi for my observation)
Usitafute kitakacho tokea, mfano mtu akizaa na Dada yake nini kitatokea mbona dini yako inakataza.
Hata mazishi ambayo wanawake wanaenda makaburini wanasidia nini, hawabebi jeneza hawachimbi kaburi yaani hakuna chochote wanachokifanya.
 
Ila relevant kwa hapa, ni kuwa kila mtu ana yake kama aonavyo yeye inafaa.

Au wewe huoni hivyo ndugu?
Mashada watu wa imani zote wanaweka.
 
Mashada watu wa imani zote wanaweka.

Miye sijui, wala hainihusu ndugu.

Yanihusu vipi ya Ngoswe, hata kama mafuta kwake ni tuzo?

Ninakazia: ubia na Ngoswe, incredible!
 
Bado hao inaowaita Makafiri waliomsumbua Mtume ndiyo walioleta Uislamu hadi wewe mtu wa Nangurukuru uka silimu. Na pia ndiyo wanaohifadhi mji mtakatifu wa Mecca. Usijifanye kuwa wewe ni Islam kuliko wale. Ni UWONGO
Wana hifadhi uislamu ni waislamu sio makafiri, mbona kama unaandika vitu ambavyo huelewi!!!, hapo Saudia wapo waislamu hao ndio wametuletea uislamu na hao ndio wanahifadhi uislamu sio kwa kelele kwa HOJA za kielimu na hapa ndio nakwambia UISLAMU sio Mecca wala Madina ni Quran na Sunah, hao makafiri wa hapo Saudia waendelee na ukafiri wao
 
Warlord Muddy aliona kuzika vibaka wake alioanzisha nao dini pindi wanapouawa mbele ya familia zao zinazolia na kuomboleza (mostly wamama) kunapunguza morali ya wapiganaji waliosalia.
Hivyo suluhisho likawa kupiga marufuku wanawake kuhudhuria mazishi.
 
Kwani lazima kila kitu anacho fanya mwanaume na mwanamke afanye? Mfalme Selemani alikuwa na wanawake 700 ebu tuambie ni mwanamke gani alikuwa na wanaume hata 100 kwenye biblia? unaleta mambo ya mtaani hapa JF
 
Huoni kama huu utamaduni una utata??
Kama sio utamaduni wako inakuuma nini sasa? Au ndio nyie mnaodhani mna mamlaka ya kupangia kila mtu cha kufanya?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama sio utamaduni wako inakuuma nini sasa? Au ndio nyie mnaodhani mna mamlaka ya kupangia kila mtu cha kufanya?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna mahali popote nimesema imeniuma?
Kuna mahali popote nimempangia mtu yeyote? Mimi si nimeuliza swali tu!
 
Hivi Waturuki ni waislamu wa aina gani? Mbona uislamu wao hauna makandokando ya Kiarabu! Tamthilia zao sioni makanzu, balaghashia wala mashungi! Kwa kweli wanawake wao wazuri and very modest. Haya, kuna shida gani kwenda makaburini kumzika mpendwa wako!!?

Kama ulikuwa kichwani mwangu, waturuki ukiangalia hata tamthiliya zao kwenye mazishi wanawake wanakuwepo nimekua najiuliza huu uislam wao ni upi mbona kama tofauti wengine.
 
Hiyo sababu itakuwa haina mashiko, Mbona kwenye huo msiba wanaume ndio wameonyeshwa wanalia kuliko wanawake!
kwamba ww ndo mchambuzi wa sababu zenye mashiko na ambazo hazina
 
Back
Top Bottom