Kwanini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

Kuna huyu wa western world anavaa kwa vile ametaka, MY BODY MY RIGHT! lakini huyu wa arabuni anavaa kwa vile ni lazima,MTUME AMEAMRISHA akikaidi anapigwa mawe na WANAUME anakufa\ANAPIGWA VIBOKO NA WANAUME. Do you see the difference?
Wapi duniani mwananmke wa kiislam alipigwa mawe mpaka kufa sababu hajavaa stara .. lete ushahidi hata kutoka kwenye Google
 
Perfect, uko sahihi kabisa! BUT, Utamaduni wa kuwafanya women objects of men, objects of mens sex pleasure. SIYO SAWA UTAMADUNI HUO!
Andika Kiswahili.

Au mawazo ya Kimagharibi yamekujaza ujinga kiasi cha kushindwa kuyaelezea kwa lugha yako ya taifa?
 
Kiswahili ni cha nyinyi waarabu na dini yenu. I have my vernacular, well articulated, and then, between the two foreign languages, one from Arabia and one from the Western world, I opted for English, not Swahili!

Ujinga ni kujifunza lugha ya Waarabu! Siwezi! Na form 4 nilipata F maana sikuisoma kabisa!
 
Binadam tumepewa mwongozo wa maisha na Muuumba wetu, mwongozo usio na shaka ndani yake ni Qur'an.

Wewe unaufata mwongozo wa Qur'an?
 
Kama ni hivyo ni swala la kuwambia tu hatutaki kulialia na kujitupa.. au kama hutoweza kujizui hisia zako basi usifike màkaburini!!
Yaani binadamu bwana yaani ww kwa utashi wako hapo umeona umefikiria mpaka mwisho umeshindwa kutafuta mantiki na kujiuliza hiyo dini ipo enzi na enzi na ni kwanini waasisi waliweka misingi ya namna hiyo.

Hao wanawake kwenda mazikoni( makaburini) wataongeza nini zaidi ya makelele na kujitupatupa na kuzimia badala ya kwenda kuzika na kumaliza haraka watu wakafanye shughuli nyingine. Watu wataanza kubembelezana na kuzindua wale waliozimia.

Wanaume watabeba jeneza je wanawake wanaweza kubeba jeneza, wanaume watachimba kaburi je wanawake wanaweza kuchimba kama hawawezi zaidi ya kubaki nyumbani na kusaidia shughuli za nyumbani na kuwafariji wafiwa kwenda makaburini inabakia fashion haiongezi chochote na wala haitakufanya uonekane ww ndo unampenda sana marehemu. Kama unampenda sana omba waongeze ukubwa wa kaburi na ww upate nafasi humo wakufukie nae hapo tutahitimisha ww unampenda sana marehemu. Tofauti na hapo tujifunze kujipendekeza kwa watu wakiwa bado wanapumua nasio wakishakata pumzi.

Babu zako walipokuwa wanakeketa au hawawapeleki wanawake shule watu kama wewe msiofikiria kutafuta mantiki katika mambo huwa mnavamia vitu alafu baadae mnaanza kulialia hapa yamkini hawa watu wazamani walikuwa na hekima na busara kubwa kuliko binadamu wa sasa. Hii inajidhihirisha kwa jamii ya leo kutokuwa na Order na kuwa na mivurugano na jamii isiyo na ustaarabu ambapo mpaka wanyama wametuzidi akili katika kuyaendea na kuyatenda mambo.
 
Kondoo sehemu zao za kutongozana ni makaburini na makanisani.
 
ukishamuona mtu aliyekufa unapata nn yaani binadamu wanapenda fashion yaani kuna vilaza wanahisi wakijiweka kimbelembele kila mahali basi wanapanda daraja na kuwa bora😂😂😂😂😂

Huu uzwazwa wa kutaka kufanana kila kitu na wazungu utatuacha na makovu mengi sana.

Hivi hao wanaolilia kuona mwili hawajui kuna jamii zinachoma miili na kuhifadhi majivu. Vipi hawa nao mtawakosoa kuwa wanawatesa marehemu kwanini wawaunguze moto na watunze majivu yao na wasiwazike kama wafanyavo wengine.Ni mtu aliye na UTINDIO wa UBONGO pekee mjinga daraja la juu kabisa ambaye atataka dunia hii watu wafanane katika kila kitu kwani binadamu tunatofautiana kwenye mila na tamaduni na mwenye akili ni yule anayejua kutofautisha na kuwa na mipaka na heshima kwa wengine.
 
Kwa nini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kushiriki shughuli muhimu za maziko kama hata kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?
Wanawake ni watu wenye kutumia hisia, wengi wao kuomboleza kwao ni kunavuka mipaka na kuzika ni utumiaji wa nguvu kwa kubeba jeneza, kuubeba mwili wa maiti ndani ya kaburi na kufukia kaburi ni kazi zinazohitaji nguvu na wanaume ndiyo wenyewe hasa kwa kazi hizo. Na kifo huwa ni ukumbusho kwa sisi tuliyo hai kwamba ipo siku nasi tutakwenda kuzikwa, sasa mtu unakwenda kuzika unamuona mdada aliyejaaliwa unaweza pata vishawishi vingine. Na vilevile mchanganyiko wa wanawake kwa wanaume kwenye dini hauna nafasi. Kama kuna mtu anataka kwenda kuzuru kaburi la marehemu anaweza fanya hivyo pindi watu wameshazika.
 
Majumbani huko wanachanganyika ila kwenye kwenye kuzika ndio hapana. Sijaona tofauti hapo? Hizo hoja hazina mashiko. Mbona huko kwa wakiristo wanawake huwa wanaenda na sijaona taharuki yoyote. Sema tu ni utaratibu ambao hauna sababu za msingi.
 
Sheria ya dini ndiyo imeshakataza wangu, na ndivyo hivyo tunavyozika miaka yote, hili la dada yetu Dida lisiwe lenye kutaka kuleta sintofahamu, kwenye maziko ya kiislamu wanawake hawawezi kwenda makaburini kuzika, huo ndiyo utaratibu wetu, kinyume na hapo ndiyo utaona mijadala kama hii inazuka.
 
Ni utaratibu tu na tunauheshimu lakini hakuna sababu za msingi kukataza wao kwenda kuzika Makaburini
 
Back
Top Bottom