Kwanini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

Waislamu Wameanza lini kuaga maiti?
Mwili kupelekwa nyumbani kwake kuswaliwa na kutolewa kwenda malaloni ndio maana halisi ya kuagwa na watu wake ikiwemo ndugu marafiki na majirani na si kwamba atawekwa na kufunuliwa la hasha.

Kwahiyo wanawake wataishia nyumbani na ndio inatafsiriwa kua wameaga na kuzika.baada ya hapo ni shughuli ya wanaume ili kuondoa mchanganyano wa jinsia kwakua huenda ukaleta athari hasi na zikasababisha watu kupata dhambi.

Ndio maana ata kwenye nyumba zetu za ibada wanawake hatuchangamani nao kabisa , kwahiyo kuondoa usumbufu huo mafundisho yetu yanasema ni bora wabakie nyumbani
 
Unachoandika na nilichokujibu ni vitu tofauti. Sijasema sitaki mfanye mnayotaka kufanya. Mm sijawaambia mpande daladala pamoja na wanawake. Ni nyie wenye ndio mmesema hamtaki kuchangama na wanawake ikiwa kila siku mnachangamana nao. Ndio nawauliza mnapokua kwenye daladala, au huko maofisini au huko masokoni huo uislamu mnauweka pembeni?
 
hawa majirani sjawaelewa kabisa hoja yao ipi?
 
Saudi Arabia siyo islamic state.
 
Dini ya Uislam imekamilika! Haifanyiwi review kwa matakwa ya nafsi za binadamu!
Ukianza kuhoji hivyo utajiuliza maswali yote, kwanini tuoe, kwanini tuswali rakaa nee mbili zina shida gani. Na maswali mengine ya kipuuzi!

Zipo dini zinaruhusu review za imani zao, nenda hizo usilazimishe usilamu uefuate matakwa ya nafsi zenu!
 
Wewe ndio mtu pekee ambae nimewahi kumsikia akisema Saudi Arabia sio nchi ya kiislamu.

Israel nimekujibu kuwa hata hao wakristo ni population ndogo kuliko hata waislamu walioko huko. Haiwezi kuwa nchi ya kikristo
 
kwani mkuu yale si mavazi tu anavaa yeyote?
 
Wewe ndio mtu pekee ambae nimewahi kumsikia akisema Saudi Arabia sio nchi ya kiislamu.

Israel nimekujibu kuwa hata hao wakristo ni population ndogo kuliko hata waislamu walioko huko. Haiwezi kuwa nchi ya kikristo
Huo ndio ukweli ile sio nchi ya kiislamu, ila ni nchi yenye waislamu wakaazi wengi,
Kuhusu Israel sijataja ukristo mimi nimetaja Biblia ya wayahudi, inakataza ushoga lakini kila mwaka ile serikali ya Netanyahu inaruhusu paredi la mashoga, huwezi kusema hii nchi ni ya kibiblia ni nchi ya watu wameamua tu iende watakavyo sawa na Saudi Arabia
 
so maana yake kama ni ushauri tu majirani hawana kosa. mstari wako wa kwanza ni vema ukauondoa
 
sasa magari yana husika vip na Uislamu?muwe mnaelewa kuwa Saudi Arabia sio utawala wa kiislamu ule, ni tawala za watu tu walizo jiamulia
Kwa hiyo wewe Muislamu wa Buza na Makangarawe unaujua Uislamu kuliko wenye Mecca ma Madina yao?? Nyambaaaaaf
 
Kusema Saudi Arabia sio nchi ya kiislamu ni kujitoa akili. Sifa za nchi ya kiislamu ni zipi?
Saudi Arabia inafuata sharia laws, katiba inafuata Quran na sunna. Bado unassma io nchi ya kiislamu?
 
Kwa hiyo wewe Muislamu wa Buza na Makangarawe unaujua Uislamu kuliko wenye Mecca ma Madina yao?? Nyambaaaaaf
Uislamu sio Mecca na Madina ni maandiko wewe, kila mmoja yuko huru kusoma na kujifunza, kama ulikuwa ufahamu hao makafiri wengi walio msumbua Mtume walikuwa ni wakazi wa hapo hapo Saudi Arabia
 
Kusema Saudi Arabia sio nchi ya kiislamu ni kujitoa akili. Sifa za nchi ya kiislamu ni zipi?
Saudi Arabia inafuata sharia laws, katiba inafuata Quran na sunna. Bado unassma io nchi ya kiislamu?
View attachment 3118685
Utachukua muda kuelewa sana hata ISIS walijitangaza ni Dola la kiislamu kule Iraq na Syria, kusema ni moja na kufanya ni mbili, hiyo nchi ni ya kifalme hakuna uhusiano na Dola ya kiislamu
 
Heri wewe umeeleza sababu
Kuliko wengine wamekuja na matusi tu wanatukanana badala ya kujadili mada.
 
Utachukua muda kuelewa sana hata ISIS walijitangaza ni Dola la kiislamu kule Iraq na Syria, kusema ni moja na kufanya ni mbili, hiyo nchi ni ya kifalme hakuna uhusiano na Dola ya kiislamu
Nimekuuliza sifa ya nchi ya kiislamu ni zipi? Kipi kifanyike ili ujue hii nchi ni ya kiislamu na ipi sio ya kiislamu?
Saudi Arabia wanatumia sharia laws, katiba yao inafuata Quran na sunna. Lipi tena lifanyike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…