Kwahiyo hata kujenga nyumba hadi uwe motivated na mpenzi wako?Hao wa hivyo siwataki. Nataka mwanamke anaekubali ile slogan "Hakuna baba mwenye Gari, kuna baba mwenye Nyumba."
Nataka mwanamke atakenimotivate nijenge nyumba, niwe baba mwenye Nyumba.
-callmeGhost
tumejifunza kutokana na makosa, mwanaume utamvumilia wakati yuko majalala akibutua tu anakuona sio hadhi yakeTatizo kubwa ni kuwa most of the ladies hushobokea material things, tena ni vitu vinavyoonekana machoni kwa urahisi ndio maana mojawapo ni gari. Sasa akimuona mwanaume ana gari lazma ashtuke na kumungalia mara mbilimbilli hata kama yeye pia ana gari tena zuri tu kushinda hilo analoliona kwa mwanaume. Yaani hajiamini kwa kile alichonacho.
Kipimo rahisi ili kuthibitisha hili mwanaume avae nguo kuukuu na kuchukua baiskeli yake akatize maeneo ya town kwenye wanawake wengi, its obvious hakuna atakaeshughulika nae. Kwa upande mwingine mwanaume huyohuyo avae nguo nzuri na achukue aidha, BMW, Amarock, Nissan Tiguan, Ford ranger, Harrier Hybrid, Prado new model, Vogue, Jeep au Mark X, etc then akatize mitaa ileile yenye wanawake walewale ni dhahiri kuwa kila mmoja atashoboka
tumejifunza kutokana na makosa, mwanaume utamvumilia wakati yuko majalala akibutua tu anakuona sio hadhi yake
yote hayo yashafanyika sana unajikuta umechoka roho na mwili hizo nguvu unazopoteza ni bora ukimbizane na vitu vya maana zaidiIt doesn't necessarily mean hivyo, mwanaume hawezi kumtoa thamani mwanamke kabla mwanamke mwenyewe hajajitoa. Tatizo you are not maintaining your status as previously been doing, ukipata unaona umepaaaaaata basi unajisahau kabisa. Don't let your partner be the only one to start the pillow talk, u should also take the lead. Acha kabisa dharau na kutojali Coz hakunaga kitu kidogo kwenye mahusiano. Maintain heshima Kama uliyoionesha awali, jali usafi wake, uzima wake, take control kuhakikisha hapati stress from inside or outside. Hakikisha unamuandalia vyakula anavyovipenda. Jali usafi wa mwili wako.
Wewe kujenga unahitaji motivation ya mwanamke?!!Hao wa hivyo siwataki. Nataka mwanamke anaekubali ile slogan "Hakuna baba mwenye Gari, kuna baba mwenye Nyumba."
Nataka mwanamke atakenimotivate nijenge nyumba, niwe baba mwenye Nyumba.
-callmeGhost
hii nzuriWalibatizwa kwa petrol
Dah itakubidi ununue tu ili kumaliza hili tatizoHaipiti mwezi lazima uzi wa kuwalalamikia mabinti kupenda magari uje humu. Muache jamani mnanipunguzia imani na mimi kujiamini kwa mai waifu wangu.
Boya kweli jamaaWewe kujenga unahitaji motivation ya mwanamke?!!
Hahah!Hivi wewe mwanaume usiye na gari, asubuhi ukipewa lift na mwanaume mwenzako kwenye gari yake mkienda kazini huwa unajisikiaje?
Sasa mkeo akipewa lift na huyo huyo jamaa huwa anajisikia hivyo hivyo kama wewe, sema mara 1000.
Anachowaza kumpa huyo jamaa ni MAJALIWA, ukigundua tafuta SULUHU, ukishindwa mfunge MAKUFULI.
Sasa hela sinaDah itakubidi ununue tu ili kumaliza hili tatizo
Ni ujinga tu ndiyo unawasumbua, si kila mwanamme mwenye gari anaendesha gari lake, wengi wanaazima toka kwa washikaji ama wanaiba magari ya ofisi kwenda kujionyesha mitaani kuwa wanajuwa kuendeshaKwanini wanawake wanaamini kwamba mwanaume mwenye gari ndo mume sahihi? Je akili zao ziko miguuni hawa wanawake?
Sasa hela sina