Tatizo kubwa ni kuwa most of the ladies hushobokea material things, tena ni vitu vinavyoonekana machoni kwa urahisi ndio maana mojawapo ni gari. Sasa akimuona mwanaume ana gari lazma ashtuke na kumungalia mara mbilimbilli hata kama yeye pia ana gari tena zuri tu kushinda hilo analoliona kwa mwanaume. Yaani hajiamini kwa kile alichonacho.
Kipimo rahisi ili kuthibitisha hili mwanaume avae nguo kuukuu na kuchukua baiskeli yake akatize maeneo ya town kwenye wanawake wengi, its obvious hakuna atakaeshughulika nae. Kwa upande mwingine mwanaume huyohuyo avae nguo nzuri na achukue aidha, BMW, Amarock, Nissan Tiguan, Ford ranger, Harrier Hybrid, Prado new model, Vogue, Jeep au Mark X, etc then akatize mitaa ileile yenye wanawake walewale ni dhahiri kuwa kila mmoja atashoboka