Kwanini wanawake wanaamini kuwa mwanaume mwenye gari ndio sahihi?

Kwanini wanawake wanaamini kuwa mwanaume mwenye gari ndio sahihi?

Tatizo kubwa ni kuwa most of the ladies hushobokea material things, tena ni vitu vinavyoonekana machoni kwa urahisi ndio maana mojawapo ni gari. Sasa akimuona mwanaume ana gari lazma ashtuke na kumungalia mara mbilimbilli hata kama yeye pia ana gari tena zuri tu kushinda hilo analoliona kwa mwanaume. Yaani hajiamini kwa kile alichonacho.

Kipimo rahisi ili kuthibitisha hili mwanaume avae nguo kuukuu na kuchukua baiskeli yake akatize maeneo ya town kwenye wanawake wengi, its obvious hakuna atakaeshughulika nae. Kwa upande mwingine mwanaume huyohuyo avae nguo nzuri na achukue aidha, BMW, Amarock, Nissan Tiguan, Ford ranger, Harrier Hybrid, Prado new model, Vogue, Jeep au Mark X, etc then akatize mitaa ileile yenye wanawake walewale ni dhahiri kuwa kila mmoja atashoboka
tumejifunza kutokana na makosa, mwanaume utamvumilia wakati yuko majalala akibutua tu anakuona sio hadhi yake
 
tumejifunza kutokana na makosa, mwanaume utamvumilia wakati yuko majalala akibutua tu anakuona sio hadhi yake

It doesn't necessarily mean hivyo, mwanaume hawezi kumtoa thamani mwanamke kabla mwanamke mwenyewe hajajitoa. Tatizo you are not maintaining your status as previously been doing, ukipata unaona umepaaaaaata basi unajisahau kabisa. Don't let your partner be the only one to start the pillow talk, u should also take the lead. Acha kabisa dharau na kutojali Coz hakunaga kitu kidogo kwenye mahusiano. Maintain heshima Kama uliyoionesha awali, jali usafi wake, uzima wake, take control kuhakikisha hapati stress from inside or outside. Hakikisha unamuandalia vyakula anavyovipenda. Jali usafi wa mwili wako.
 
Acha kulalamalama bila mpango, Kama una ishu soma alama za nyakati subiri muda muwafaka wa kuongea nae, subiri amerudi na baada ya kuoga, kula na kupumzika kidogo mfuate chumbani kaa pembeni ya kitanda Huku ukiwa umeshika kifuani pale na mkono mmoja eleza shida zako taratiiiibu kwa sauti mworoorooo atakuskiliza na ku act rapidly
 
It doesn't necessarily mean hivyo, mwanaume hawezi kumtoa thamani mwanamke kabla mwanamke mwenyewe hajajitoa. Tatizo you are not maintaining your status as previously been doing, ukipata unaona umepaaaaaata basi unajisahau kabisa. Don't let your partner be the only one to start the pillow talk, u should also take the lead. Acha kabisa dharau na kutojali Coz hakunaga kitu kidogo kwenye mahusiano. Maintain heshima Kama uliyoionesha awali, jali usafi wake, uzima wake, take control kuhakikisha hapati stress from inside or outside. Hakikisha unamuandalia vyakula anavyovipenda. Jali usafi wa mwili wako.
yote hayo yashafanyika sana unajikuta umechoka roho na mwili hizo nguvu unazopoteza ni bora ukimbizane na vitu vya maana zaidi
 
Hao wa hivyo siwataki. Nataka mwanamke anaekubali ile slogan "Hakuna baba mwenye Gari, kuna baba mwenye Nyumba."

Nataka mwanamke atakenimotivate nijenge nyumba, niwe baba mwenye Nyumba.

-callmeGhost
Wewe kujenga unahitaji motivation ya mwanamke?!!
 
Mwanamke kiumbe wa ajabu sana hata ukiwa na mkweche kama huu,utampata.
 
Attachments

  • 1479043912700.jpg
    1479043912700.jpg
    29.9 KB · Views: 46
Haipiti mwezi lazima uzi wa kuwalalamikia mabinti kupenda magari uje humu. Muache jamani mnanipunguzia imani na mimi kujiamini kwa mai waifu wangu.
Dah itakubidi ununue tu ili kumaliza hili tatizo
 
Hivi wewe mwanaume usiye na gari, asubuhi ukipewa lift na mwanaume mwenzako kwenye gari yake mkienda kazini huwa unajisikiaje?
Sasa mkeo akipewa lift na huyo huyo jamaa huwa anajisikia hivyo hivyo kama wewe, sema mara 1000.
Anachowaza kumpa huyo jamaa ni MAJALIWA, ukigundua tafuta SULUHU, ukishindwa mfunge MAKUFULI.
Hahah!
Jamaa kumbe huu msemo wa majaliwa sijui kutafuta suluhu na magufuli,uliuanzisha miaka hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu hata kiokote akipata anabadilika,ni kheri upate mwenye nazo tu msaidiane kuendeleza miradi
 
Mwanaume anaemiliki gari anaonekana jasiri asieogopa kutumia na kutafuta fedha....ukikutana na kidume kinachotengeneza faida 100 m + kwa mwaka na bado kinadandia DCM mwanamke anakiogopa kwamba hiki kitamletea dhiki. Duniani tunapita nunua gari upunguze kero na uwapate hao wapenda magari. Gari raha wewe sikia tu. Iam a man nikiona nginja ina mpunga lakini bado inakomaa na daladala huwa naiona kama nginja isiyojiamini...unakusanya hela unataka kujenga dunia ingine!? Tumia helaaa weweee
 
Moja ya indication iliyo wazi kuonyesha mwanaume anaweza mudu majukumu ya mahusiano.
Hakuna kuremba maneno ,,fedha ni lazima ipatikane.
 
Shida tukianza na nyie wenye mikokoteni siku mkipata hayo magari mnapata na mwanamke mwingine ambae hajachumia juani na wewe.
 
Kwanini wanawake wanaamini kwamba mwanaume mwenye gari ndo mume sahihi? Je akili zao ziko miguuni hawa wanawake?
Ni ujinga tu ndiyo unawasumbua, si kila mwanamme mwenye gari anaendesha gari lake, wengi wanaazima toka kwa washikaji ama wanaiba magari ya ofisi kwenda kujionyesha mitaani kuwa wanajuwa kuendesha
 
Tusake noti wakuu bila Hivo tutadhalilika Sana.
 
Back
Top Bottom