DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
Hii imekaaje? Wanawake wanang'ang'ania sana kuolewa hata ikibidi kutumia uchawi na kulazimisha ilimradi tu waolewe.
Wengine wanakesha makanisani wanagaragara madhabahuni wakiombewa wapate ndoa.
Wanapambana na kung'ang'ana vibaya mno kwanini?
Huko kwenye ndoa kuna nini haswa kinachofuatwa kwa nguvu kiasi hicho?
Ndoa ni Muunganiko wa hiari wa watu wawili waliopendana, lakini haya mambo ya KUFOSI yananitisha?
Shida ni nini? Ni hamu ya kushenyentwa? Au ni hamu ya kuzaa? Au ni njia ya kusaka ugali?
Kama ndoa ni nzuri sana kwa pande zote mbili, mbona sionagi wanaume wakihaha makanisani kutafuta wanawake wa kuoa?
Sijawahi kuona dume linaombewa kanisani ili lipate mke!
Wengine mpaka wanapakwa mafuta ya upako ili waolewe.
Hii imekaaje?