Kwanini wanawake wanang'ang'ania sana ndoa?

Ghafla tu kila mwanamume ana kipato, anatunza mkewe na mkewe kafuata ajira ndoani na ana mali siku akifa mkewe anacho cha kurithi.

We listen, we don’t judge 😀

Vipi kuhusu wanawake walioolewa na wanavipato zaidi ya waume zao? Vipi kuhusu wale watoto wakishua nao wanaoolewa wakapate ajira? Again Vipi kuhusu neno “Single mother walio ndoani”? na hawalalamiki wanaendelea na maisha yao sababu wanajua wanachopata kwa waume zao, Wao je?

Tusiwaweke wanawake wote kwenye fungu moja, Kwa wengine it’s more than that for others. Japo ni kweli kuwa kuna akina sisi ambao tunaolewa ili tupate ajira, tunaolewa sababu hatuna pakuishi na hatuna chakula 😂

Halafu bichwa we sio wakujadili mambo ya ndoa bwana, jadili yale mambo yako.
🤣🤣🤣🤣 nimeokoka na kuzaliwa upya katika kristoo
 
Hii imekaaje? Wanawake wanang'ang'ania sana kuolewa hata ikibidi kutumia uchawi na kulazimisha ilimradi tu waolewe.

Wengine wanakesha makanisani wanagaragara madhabahuni wakiombewa wapate ndoa.

Wanapambana na kung'ang'ana vibaya mno kwanini?

Huko kwenye ndoa kuna nini haswa kinachofuatwa kwa nguvu kiasi hicho?

Ndoa ni Muunganiko wa hiari wa watu wawili waliopendana, lakini haya mambo ya KUFOSI yananitisha?

Shida ni nini? Ni hamu ya kushenyentwa? Au ni hamu ya kuzaa? Au ni njia ya kusaka ugali?

Kama ndoa ni nzuri sana kwa pande zote mbili, mbona sionagi wanaume wakihaha makanisani kutafuta wanawake wa kuoa?

Sijawahi kuona dume linaombewa kanisani ili lipate mke!

Wengine mpaka wanapakwa mafuta ya upako ili waolewe.

Hii imekaaje?
Ndoa ni ajira kwa mwanamke

sasa ukifa mimi nitaishije = sasa nisipo olewa nitaishije.
 
Hii imekaaje? Wanawake wanang'ang'ania sana kuolewa hata ikibidi kutumia uchawi na kulazimisha ilimradi tu waolewe.

Wengine wanakesha makanisani wanagaragara madhabahuni wakiombewa wapate ndoa.

Wanapambana na kung'ang'ana vibaya mno kwanini?

Huko kwenye ndoa kuna nini haswa kinachofuatwa kwa nguvu kiasi hicho?

Ndoa ni Muunganiko wa hiari wa watu wawili waliopendana, lakini haya mambo ya KUFOSI yananitisha?

Shida ni nini? Ni hamu ya kushenyentwa? Au ni hamu ya kuzaa? Au ni njia ya kusaka ugali?

Kama ndoa ni nzuri sana kwa pande zote mbili, mbona sionagi wanaume wakihaha makanisani kutafuta wanawake wa kuoa?

Sijawahi kuona dume linaombewa kanisani ili lipate mke!

Wengine mpaka wanapakwa mafuta ya upako ili waolewe.

Hii imekaaje?
Unachopaswa kujua,mwanamke ndivyo alivyoumbwa asili yake ni kuhitaji mwanaume ambaye atamtegemea,hii ni kuanzia ulinzi wake,afya yake,maisha yake na kila kitu,na hii hali huwa ni nature, inamfanya ajihisi kuwa yuko very much protected,kaumbwa hivyo,inawezekana hata yeye mwenye ukimuuliza hajui kwanini anakuwa hivyo.Hili ukitaka kuliona vizuri ni pale unapokuwa na mtoto wa kike,automatically wanakuwa karibu sana na baba yao kuliko na mama,that is nature.Sasa linapokuja swala la ufeminist hapo ndipo wanapoharibu hilo lengo wanakuwa kama majizi flani hivi...
 
Wanawake wanatamani sana ndoa, binti akishavunja ungo tu

She begins to fantasize her wedding day the way she will look stunning in her wedding gown as a bride

Kikubwa wanataka ndoa ili wapate security kutoka kwa mwanaume

Akishagonga 27+ hapo anajua yuko kwenye danger zone mamaè atakuganda mpaka ukome.

Na hautakiwi kumuoa mwanamke kwa kumuonea huruma ukipata nafasi ya kumuumiza kihisia mwanamke muumize kadiri uwezavyo.

Ukipenda muahidi ndoa then hit her and run
 
Na hautakiwi kumuoa mwanamke kwa kumuonea huruma ukipata nafasi ya kumuumiza mwanamke muumize kadiri uwezavyo. Hit her and run
Tusisahau tu kuwa ukimuumiza mwanamke kisasi chake ni kwa mwanaume mwenzako na huwa hakiwi kidogo na huenda vizazi viwili au vitatu maana wamebeba uzazi.

Hivi vilio vya kupigwa na kitu kizito na single mothers walioumizwa ni vingi na havitakwisha mpaka wanaume tubadilike. Wanaume tukikaa sehemu yetu wanawake watatii.
 
Hii imekaaje? Wanawake wanang'ang'ania sana kuolewa hata ikibidi kutumia uchawi na kulazimisha ilimradi tu waolewe.

Wengine wanakesha makanisani wanagaragara madhabahuni wakiombewa wapate ndoa.

Wanapambana na kung'ang'ana vibaya mno kwanini?

Huko kwenye ndoa kuna nini haswa kinachofuatwa kwa nguvu kiasi hicho?

Ndoa ni Muunganiko wa hiari wa watu wawili waliopendana, lakini haya mambo ya KUFOSI yananitisha?

Shida ni nini? Ni hamu ya kushenyentwa? Au ni hamu ya kuzaa? Au ni njia ya kusaka ugali?

Kama ndoa ni nzuri sana kwa pande zote mbili, mbona sionagi wanaume wakihaha makanisani kutafuta wanawake wa kuoa?

Sijawahi kuona dume linaombewa kanisani ili lipate mke!

Wengine mpaka wanapakwa mafuta ya upako ili waolewe.

Hii imekaaje?
Ndoa ni ya mwanamke, mwanaume hana ndoa kabisa
 
Back
Top Bottom