Kwanini wanawake wanang'ang'ania sana ndoa?

Kwanini wanawake wanang'ang'ania sana ndoa?

Mara nyingi nimeshuhudia kwenye arguments za wana ndoa kuhusu mipango ya kimaendeleo.

Utamskia mwanamke akimuambia mume wake "sasa ukifa mimi na watoto tutaishije?"

Yani wao wanajiweka wa mwisho kufa.
Hii kauli huwa inanikera sana kutoka kwa wanawake hawajui tu na nilivyo siipendi ndiyo Mungu nae ananikutanisha na wanawake wengi sana wenye huu msimamo kwa waume zao... Hata huyu wangu ameshawahi kunitamkia hiyo sentence "ilinikata sana" na kuniwekea kovu ambalo sidhani kama nitapona
 
Ndoa ni heshima kwa mwanamke mwenye kujitambua,kuzaa watoto nje ya ndoa sio jambo zuri ki maaduli. kama ikitokea mmoja basi huisabika kama bahati mbaya,ukizaa zaidi ya hapo huwa ni shida katika jamii yetu ya Afrika.
Pili kama hujaolewa na umri unakwenda basi hutafsilika kama nuksi au mkosi hasa pale wanapoona mdogo wake kaolewa alafu yeye bado.
All in all sisi wazazi wa Kiafrika ndio tunawapa pressure watoto wetu wa
Kike
 
Mwanaume ukioa, bado una nafasi.
Mkipata mtoto, utahitajika kwa kipindi cha malezi, usijigambe, bado una nafasi kiduchu!
Ukipata mwingine, ukalea na wakakuwa. MWANAUME MCHEZO UMEKWISHA! KAZI YAKO IMEISHA!
Cha kufanya tafuta mwingine kwa masharti hutaki mzae! Fanya hata vasectomy!
Jiandae kuwa ATM ya kutunza mke na watoto au mtoto!
Mwanaume anza kula LIFE mpaka wakuone LIMBUKENI!
Ndio! Sababu waombewa UFE watu warithi ulichonacho!
Kila la kheri mwanaume.
 
ndoa ni heshima kubwa mno miongni mwa jamii,

inawaumiza na kuwasinonesha sana, yaani wanaviona vidada vyenzao vya kawaida tu ila vinajiheshimu vimeolewa, hivi sasa vinawatoto na maisha yao ya ndoa ni shwari kabisa,

huku wao pisi kali za maana kabisa , umri unasonga sana, p2 zinewachosha na kuwafubaza na makeup karibia imeanza kuwagomea, ndiyo sasa wanaanza kuchangamsha miguu hadi kwa ndumba, ukiachilia mbali kwenye maombi na maombezi ,

dada yuko tayari kuolewa hata mke wa sita bila mahari dah 🐒 🐒
Hii ya Wadada kutaka kuolewa hata mke wa pili iko sana.

Lakini majority ni wale waliokuwa wala bata wanahongwa sana na vibosile sasa uzuri umeshaanza kupungua soko limeshuka.
 
Ndoa ni ajira kwa mwanamke ndugu yangu divisheni foo yani hapo mwanaume unakuwa umemsaidia
1.Makazi
2.Chakula
3.Mavazi
4.Afya akiugua
5.Ulinzi na usalama
6.Watoto na heshima
7.Usafiri akitaka kusafiri
8.Ukifa anarithi Mali zote
9.na unaweza kumfungulia biashara yake
Yote hayo utayafanya in exchange of sex
TURUHUSU TUKUJENGEE MNARA MKUU
 
Hii ya Wadada kutaka kuolewa hata mke wa pili iko sana.

Lakini majority ni wale waliokuwa wala bata wanahongwa sana na vibosile sasa uzuri umeshaanza kupungua soko limeshuka.
ni somo na darasa kwa hawa wa sasa but hawataki kujifunza sielewagi kwanini,

unakuta katoto kadogo tu, tena kwa mapozi yote kanaringa kweli kutembea na mbaba mtu mzima mwenye mke na familia yake,

huku anamkataa kijana mwenzake mwenye nguvu zaid..

akija kufika 35, kachakaa hadi anajichukia mwenewe, akitazama nyuma hamuoni hata kijana moja anaemfuatilia, wakati huo huyo mbaba hajiwezi tena,

inatia huruma sana aisee 🐒
 
ni somo na darasa kwa hawa wa sasa but hawataki kujifunza sielewagi kwanini,

unakuta katoto kadogo tu, tena kwa mapozi yote kanaringa kweli kutembea na mbaba mtu mzima mwenye mke na familia yake,

huku anamkataa kijana mwenzake mwenye nguvu zaid..

akija kufika 35, kachakaa hadi anajichukia mwenewe, akitazama nyuma hamuoni hata kijana moja anaemfuatilia, wakati huo huyo mbaba hajiwezi tena,

inatia huruma sana aisee 🐒
Inasikitisha sana
 
Hii imekaaje? Wanawake wanang'ang'ania sana kuolewa hata ikibidi kutumia uchawi na kulazimisha ilimradi tu waolewe.

Wengine wanakesha makanisani wanagaragara madhabahuni wakiombewa wapate ndoa.

Wanapambana na kung'ang'ana vibaya mno kwanini?

Huko kwenye ndoa kuna nini haswa kinachofuatwa kwa nguvu kiasi hicho?

Ndoa ni Muunganiko wa hiari wa watu wawili waliopendana, lakini haya mambo ya KUFOSI yananitisha?

Shida ni nini? Ni hamu ya kushenyentwa? Au ni hamu ya kuzaa? Au ni njia ya kusaka ugali?

Kama ndoa ni nzuri sana kwa pande zote mbili, mbona sionagi wanaume wakihaha makanisani kutafuta wanawake wa kuoa?

Sijawahi kuona dume linaombewa kanisani ili lipate mke!

Wengine mpaka wanapakwa mafuta ya upako ili waolewe.

Hii imekaaje?
N nature napia wameamnishwa ww mwenyw kama unayo bnt yako kashakuwa mtu mzm labda kafksha 27 plus lazma umwambie vp ujaona tu? unazeeka usje ukawa ajuza ujaolewa itakuwa, n fedhea so mwanamke anaamn na yy lazma azae aendeleze kzza
 
Back
Top Bottom