Kwanini wanawake wanang'ang'ania sana ndoa?

Kumbe huwa unaongeaga point Akili zikikurudi.

Ila zikitoka unaanza uchawa.
 
Wanaume ni wachache kaka,ila pia jiulize ni kwanini hao hao wakiingia kwenye ndoa uzichoka haraka?nakutamani kutoka?
 
Ukiachana na kupata urahisi wa maisha kwa kutoa sex na kuzaa pekee. Wengi hulilia ndoa baada ya prime zao kupita, sababu mwanamke bila ya mwanaume anakosa dhumuni la maisha na thamani yake inashuka, vilevile akili yake hukosa amani, lakini hasa akiona wenzake wapo ndoani.

Ukijua kucheza na psychology ya mwanamke wala hutopata tabu.
 
Mara nyingi nimeshuhudia kwenye arguments za wana ndoa kuhusu mipango ya kimaendeleo.

Utamskia mwanamke akimuambia mume wake "sasa ukifa mimi na watoto tutaishije?"

Yani wao wanajiweka wa mwisho kufa.
Na mi huwa najiuliza hilo sana, yaani wao uwaza tu we mwanaume uta go kabla ya wao,na kama vile wanaomba sana iwe ivyo,yote ni mipango ya mungu jamani, yoyote aweza tanguliaa ebo!!
 
Kumbe huwa unaongeaga point Akili zikikurudi.

Ila zikitoka unaanza uchawa.
jifunze kutambua unachangia nini wapi gentleman,
unyumbu na makasiriko yako baki nao huko huko kwa wenye mihemko wenzako 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…