Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kumbe huwa unaongeaga point Akili zikikurudi.ni somo na darasa kwa hawa wa sasa but hawataki kujifunza sielewagi kwanini,
unakuta katoto kadogo tu, tena kwa mapozi yote kanaringa kweli kutembea na mbaba mtu mzima mwenye mke na familia yake,
huku anamkataa kijana mwenzake mwenye nguvu zaid..
akija kufika 35, kachakaa hadi anajichukia mwenewe, akitazama nyuma hamuoni hata kijana moja anaemfuatilia, wakati huo huyo mbaba hajiwezi tena,
inatia huruma sana aisee 🐒
Ila zikitoka unaanza uchawa.